Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
sio lazima wote tusome wengine wanatakiwa wawe mabeki tatu wetu
Mpeleke Garage akapige spana najua miezi 3 tu ataiva kama yuko bongo kujaribu kumuombea pale n
Nduvini auto works nimeona wadada wapo pale mafundi wazuri tu Wanaweza kumsaidia bi dada mwenzao.
Habari za muda huu ndugu zangu?!
Kuna dogo mmoja alifanya pepa ya form four akapata 0. Karudia tena bado hali ni ile ile. Amewaza sana asome nini kitakachomsaidia kwenye maisha yake hapati jibu, nami nimewashirikisha ninyi ndugu zangu tumsaidie mawazo. Aende veta au wapi au asome course gani jaman? Ni binti
sio lazima wote tusome wengine wanatakiwa wawe mabeki tatu wetu
Aende LUMUMBA kuna kazi zipo pale za kuja huku JF kuchafua hali ya hewa...wanalipa buku saba kwa sikuHabari za muda huu ndugu zangu?!