Tumsaidie mawazo huyu dogo tafadhali!

Tumsaidie mawazo huyu dogo tafadhali!

Mpeleke Garage akapige spana najua miezi 3 tu ataiva kama yuko bongo kujaribu kumuombea pale n
Nduvini auto works nimeona wadada wapo pale mafundi wazuri tu Wanaweza kumsaidia bi dada mwenzao.

na huko akipata zero?
 
Habari za muda huu ndugu zangu?!
Kuna dogo mmoja alifanya pepa ya form four akapata 0. Karudia tena bado hali ni ile ile. Amewaza sana asome nini kitakachomsaidia kwenye maisha yake hapati jibu, nami nimewashirikisha ninyi ndugu zangu tumsaidie mawazo. Aende veta au wapi au asome course gani jaman? Ni binti

kwa hiyo jamaa NDUNDA au MBURULA SIO?. Auze ungaa ndio biashara usiohitaji ubongo. Meza kete kamata pesa hawezi pata ziro tena.
 
kwani we unazijua? Kama unazijua ungeziweka hapa ili kumsaidia na siyo kuja kuonesha umwamba wako wa kumpinga mtu hapa...

Hapa tupo tunatoa ushauri
 
Habari za muda huu ndugu zangu?!
Kuna dogo mmoja alifanya pepa ya form four akapata 0. Karudia tena bado hali ni ile ile. Amewaza sana asome nini kitakachomsaidia kwenye maisha yake hapati jibu, nami nimewashirikisha ninyi ndugu zangu tumsaidie mawazo. Aende veta au wapi au asome course gani jaman? Ni binti
Aende LUMUMBA kuna kazi zipo pale za kuja huku JF kuchafua hali ya hewa...wanalipa buku saba kwa siku
 
Certificate in hair dressing and mabibi harusi rembaring inalipa sana nowadays
 
kwa hiyo jamaa NDUNDA au MBURULA SIO?. Auze ungaa ndio biashara usiohitaji ubongo. Meza kete kamata pesa hawezi pata ziro tena.

Mfanyie mpango wa mtaj ili uwe na share kwenye hiyo biashara na wewe
 
Back
Top Bottom