Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Mhe. Rais anatamamani Sana kupata watu wakumsaidia kwenye uwaziri; lakini may be Hana majina mengi ya watu wanaofaa na hivyo kulazimika kutumia majina yale yale.
Great thinkers tunaweza kutumia fursa hii kumsaidia baadhi ya majini anayoweza kuyatupia macho aboreshe Baraza la Mawaziri
Uzi huu utusaidie kuwataja, may be unamfahamu vyema Mbunge wako, unamfaham vipi mkurugenzi WA taasisi flani au Una MTU yupo ngambo ungetamani arejeshwe nchini kutusaidia sekta flani mtaje.......
Lakini pia unaweza kutaja waziri au Naibu waziri unayedhani NI mzigo Kwa Baraza lililopo