Tumsaidie Rais kupata majina ya watu wanaofaa kupewa uwaziri, anatusikiliza

Tumsaidie Rais kupata majina ya watu wanaofaa kupewa uwaziri, anatusikiliza

Hilo haliwezekani. Jicho la rais kupitia watu wake linaona pakubwa sana kuliko sisi masavaiva. Haiwezekani kabisa eti rais ana majina machache. Swala ni kwamba hawa ndio watu wake kutokana na situation ambayo anaijua mwenyewe
 
Ila na Mimi HER Excellence,MADAM,SAMIA SULUHU,usinisahau angalau ukuunwa wilaya mojawaponjapa Tanzania.
Nikatoe mchango wangu,Nina experience ya kutosha ,mwaka wankuminna Tano Niko humuhumu serikalini,ila wamenificha sionekani[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nilitarajia mke wa JPM apewe ubunge kama JPM alivyompatia Salima kikwete ubunge wa bure.
Alimpa kwa sababu Maalum, kama ishara ya kuweka mahusiano vizuri baada ya kidogo kupishana maneno na vitendo
 
🔛Elimu na ufundi - ndugu kishimba

🔛 Uchumi fedha - ndugu kimei

🔛Ardhi nyumba makazi - ndugu lukuvi

🔛Chakula mifugo ndugu mpina

🔛Ajira Sera mipango ndugu jafo

🔛 Bunge utawala bora ndugu A kairuki

🔛Maji na mifugo ndugu Waitara

🔛Madini na Biashara ndugu Biteko

🔛Nishati Teknologia ndugu kalemani

🔛Habari Sanaa michezo ndugu katambi

🔛Afya maendeleo jamii ndugu mwalimu

🔛Sheria na katiba ndugu mdee

🔛Mambo ya nje ndugu mulamula

🔛Mambo ya ndani ndugu simbachawene

NOTE: Bunge hili wabunge waliopo sio wachapakazi wala hawana uwezo wa kujenga hoja na kumshawishi mwananchi na serikali kipi kiwe na kipi kisiwe Ila hao at least wanaweza sogeza kitu mahali.

Pia nakuomba Rais niteuwe Mimi kuwa mjumbe wa Biashara za ndani na nje ya mipaka naamini nitakuletea pesa za kigeni nyingi ndani ya miezi sita ya kwanza utaona kitu.

Kama hutojali nipe nafasi niongoze shirika la nyumba la Taifa na tulete Imani ya makazi kwa watanzania wa kipato Cha chini na Kati waweze kununua nyumba hzo sio sasa matajir tuu ndio wanufaika.

Nipe nafasi nikuwakilishe kwenye moja ya shirika (NSSF, Atcl, TTCL, NHIF& Namengineyo)ambalo unaona haliendi vizuri nipe hyo nafasi Mambo yatakaa sawa ndani ya muda mfupi.

Moja Kati ya nafasi utakayonipa nitahakikisha tutapata matokeo chanya Mimi pamoja na watendaji ambao nitawakuta au utatuongezea kwa maslai ya Taifa la Tanzania.

naomba uweke historia kuwa unajali wanachi wa Hali zote basi niteuwe niwawakilishe vijana fresh from JF hapo utajua kuwa kumbe Taifa hili lina watu wazalendo wachapakazi rejea komenti na post zangu hapa JF.
Sukuma Gang hawawezi pewa nafasi tena.
 
Umkhontowesizwe Nkulukumbi Libangandonde, aka UMK.
Natokea Nkotokwiana, wilaya ya Newala, mkoa wa Mtwara.
Anayepeleka majina kwa mama asinisahau; akinisahau nitaonana naye nikipenya na kuteuliwa 😅😅
 
Mhe. Rais anatamamani Sana kupata watu wakumsaidia kwenye uwaziri; lakini may be Hana majina mengi ya watu wanaofaa na hivyo kulazimika kutumia majina yale yale.

Great thinkers tunaweza kutumia fursa hii kumsaidia baadhi ya majini anayoweza kuyatupia macho aboreshe Baraza la Mawaziri

Uzi huu utusaidie kuwataja, may be unamfahamu vyema Mbunge wako, unamfaham vipi mkurugenzi WA taasisi flani au Una MTU yupo ngambo ungetamani arejeshwe nchini kutusaidia sekta flani mtaje.......

Lakini pia unaweza kutaja waziri au Naibu waziri unayedhani NI mzigo Kwa Baraza lililopo
Amchukue Maxence Melo wizara ya Nape.

Mimi ninamfaa wizara ya sanaa, utamaduni na michezo
 
Hii awamu sio yake hivyo hana list ya watu wake watakaomtii na kutekeleza anayoyataka. Avumilie tu
 
Mhe. Rais anatamamani Sana kupata watu wakumsaidia kwenye uwaziri; lakini may be Hana majina mengi ya watu wanaofaa na hivyo kulazimika kutumia majina yale yale.

Great thinkers tunaweza kutumia fursa hii kumsaidia baadhi ya majini anayoweza kuyatupia macho aboreshe Baraza la Mawaziri

Uzi huu utusaidie kuwataja, may be unamfahamu vyema Mbunge wako, unamfaham vipi mkurugenzi WA taasisi flani au Una MTU yupo ngambo ungetamani arejeshwe nchini kutusaidia sekta flani mtaje.......

Lakini pia unaweza kutaja waziri au Naibu waziri unayedhani NI mzigo Kwa Baraza lililopo
Yeyote atakayekuwa ni labda wa afadhali lakini siyo anayefaa.

Kiongozi anatakiwa mtu mwadilifu. Sasa bunge lililojaa watu waovu wasio na uadilifu, huyo mzuri atatoka wapi.

Kuanzia Waziri mkuu mpaka wa mwisho, wote walipora uchaguzi wakati ule Serikali uvu ilipokuwa inatawala.

Kwa sasa ni kutafuta namna ya kujisogeza kwa kuwatumia hao hao waovu mpaka muda utakapofika wa uchaguzi ili sasa watafutwe wenye kufaa baada ya kuwa na sheria itakayotamka waziri asiwe mbunge.

Mwizi huwa hachagui cha kuiba. Aliyeiba au kupora kura, akiwa kwenye nafasi ya kuweza kuiba au kupora pesa ya umma, hawezi kuacha kuiba. Ndiyo kinachotokea sasa.
 
🔛Elimu na ufundi - ndugu kishimba

🔛 Uchumi fedha - ndugu kimei

🔛Ardhi nyumba makazi - ndugu lukuvi

🔛Chakula mifugo ndugu mpina

🔛Ajira Sera mipango ndugu jafo

🔛 Bunge utawala bora ndugu A kairuki

🔛Maji na mifugo ndugu Waitara

🔛Madini na Biashara ndugu Biteko

🔛Nishati Teknologia ndugu kalemani

🔛Habari Sanaa michezo ndugu katambi

🔛Afya maendeleo jamii ndugu mwalimu

🔛Sheria na katiba ndugu mdee

🔛Mambo ya nje ndugu mulamula

🔛Mambo ya ndani ndugu simbachawene

NOTE: Bunge hili wabunge waliopo sio wachapakazi wala hawana uwezo wa kujenga hoja na kumshawishi mwananchi na serikali kipi kiwe na kipi kisiwe Ila hao at least wanaweza sogeza kitu mahali.

Pia nakuomba Rais niteuwe Mimi kuwa mjumbe wa Biashara za ndani na nje ya mipaka naamini nitakuletea pesa za kigeni nyingi ndani ya miezi sita ya kwanza utaona kitu.

Kama hutojali nipe nafasi niongoze shirika la nyumba la Taifa na tulete Imani ya makazi kwa watanzania wa kipato Cha chini na Kati waweze kununua nyumba hzo sio sasa matajir tuu ndio wanufaika.

Nipe nafasi nikuwakilishe kwenye moja ya shirika (NSSF, Atcl, TTCL, NHIF& Namengineyo)ambalo unaona haliendi vizuri nipe hyo nafasi Mambo yatakaa sawa ndani ya muda mfupi.

Moja Kati ya nafasi utakayonipa nitahakikisha tutapata matokeo chanya Mimi pamoja na watendaji ambao nitawakuta au utatuongezea kwa maslai ya Taifa la Tanzania.

naomba uweke historia kuwa unajali wanachi wa Hali zote basi niteuwe niwawakilishe vijana fresh from JF hapo utajua kuwa kumbe Taifa hili lina watu wazalendo wachapakazi rejea komenti na post zangu hapa JF.
Madini waziri awe Prof Shukuru Manya. Doto biteko ni mpigaji sana.
 
Baraza la mawaziri linapangwa Msoga, Mama kazi yake ni kulitangaza tuu!.
 
Madini waziri awe Prof Shukuru Manya. Doto biteko ni mpigaji sana.
Well said. Shukuru Manya would be the best placement.

Huyu wa sasa, ni wale wale, tena kwa kiwango cha kutisha.
 
Back
Top Bottom