Tumsaidie Rais kupata majina ya watu wanaofaa kupewa uwaziri, anatusikiliza

Hilo haliwezekani. Jicho la rais kupitia watu wake linaona pakubwa sana kuliko sisi masavaiva. Haiwezekani kabisa eti rais ana majina machache. Swala ni kwamba hawa ndio watu wake kutokana na situation ambayo anaijua mwenyewe
 
Ila na Mimi HER Excellence,MADAM,SAMIA SULUHU,usinisahau angalau ukuunwa wilaya mojawaponjapa Tanzania.
Nikatoe mchango wangu,Nina experience ya kutosha ,mwaka wankuminna Tano Niko humuhumu serikalini,ila wamenificha sionekani[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Nilitarajia mke wa JPM apewe ubunge kama JPM alivyompatia Salima kikwete ubunge wa bure.
Alimpa kwa sababu Maalum, kama ishara ya kuweka mahusiano vizuri baada ya kidogo kupishana maneno na vitendo
 
Sukuma Gang hawawezi pewa nafasi tena.
 
Umkhontowesizwe Nkulukumbi Libangandonde, aka UMK.
Natokea Nkotokwiana, wilaya ya Newala, mkoa wa Mtwara.
Anayepeleka majina kwa mama asinisahau; akinisahau nitaonana naye nikipenya na kuteuliwa 😅😅
 
Amchukue Maxence Melo wizara ya Nape.

Mimi ninamfaa wizara ya sanaa, utamaduni na michezo
 
Hii awamu sio yake hivyo hana list ya watu wake watakaomtii na kutekeleza anayoyataka. Avumilie tu
 
Yeyote atakayekuwa ni labda wa afadhali lakini siyo anayefaa.

Kiongozi anatakiwa mtu mwadilifu. Sasa bunge lililojaa watu waovu wasio na uadilifu, huyo mzuri atatoka wapi.

Kuanzia Waziri mkuu mpaka wa mwisho, wote walipora uchaguzi wakati ule Serikali uvu ilipokuwa inatawala.

Kwa sasa ni kutafuta namna ya kujisogeza kwa kuwatumia hao hao waovu mpaka muda utakapofika wa uchaguzi ili sasa watafutwe wenye kufaa baada ya kuwa na sheria itakayotamka waziri asiwe mbunge.

Mwizi huwa hachagui cha kuiba. Aliyeiba au kupora kura, akiwa kwenye nafasi ya kuweza kuiba au kupora pesa ya umma, hawezi kuacha kuiba. Ndiyo kinachotokea sasa.
 
Madini waziri awe Prof Shukuru Manya. Doto biteko ni mpigaji sana.
 
Baraza la mawaziri linapangwa Msoga, Mama kazi yake ni kulitangaza tuu!.
 
Madini waziri awe Prof Shukuru Manya. Doto biteko ni mpigaji sana.
Well said. Shukuru Manya would be the best placement.

Huyu wa sasa, ni wale wale, tena kwa kiwango cha kutisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…