Hata ndugulile naye ni mzigoMwigulu aoneshwe mlango
Eti tumsaidie, kwani mnapipwa wote? anazinguwa huyo bibi
Mwigulu aoneshwe mlango
Mamlaka yote yapo mikononi mwake mimi nimsaidie vipi? aliamua kuendelea nao kwasababu aliona wanamfaa, kama watendaji wake ni mizigo basi hata naye ni mzigo.
Rais wetu mpendwa alitakiwa kupanga safu itakayoendana naye, hao wa Mwenda awabwage tu.
Kwa uchumi unaoendeshwa kisiasa mtabadilisha kila siku. Mtafanya rotation mpaka wabunge wote wawe mawaziri wa fedha na hamtafanikiwa. Nchi na uchumi wa tanzania unaendeshwa kisiasa sana.
VP anaweza tenguliwa? Huyu nae kimeo kabisa.Tunao mchango wa kumfikisha hapo. Awe anataka au hataki, lakini kama tuko strategic.
Uswahilini wanaita kujua namna ya kumsukuma mlevi:
View attachment 1860195
Mwigulu must go!