Kama nchi tushikamane kwa wakati huu, kazi ya wale wabunge wetu ya kushangilia na kupiga meza inatakiwa wawepo kule IPU.
Kwanza wangeenda wamama wale wanaopigaga vigelegele kwa kila kitu wale waliouliza maswali ya Ukraine wangeipata fresh yao.
Wapelekwe na wale wabunge kama king wanaosemaga order kila saa order na zaidi wapiga meza na kuunga hoja asilimia Mia kwa Mia.
Lazima tushikamane ili dunia itujue vizuri maana wazungu hawatutambui nadhani wanatusikia tu, wakibisha zaidi tuwapelekee wasanii wote wa wasafi wakaimbe hukohuko wasituletee mchezo hao wabunge wa IPU.