Tumshauri:Amechelewa kuona barua yake kwenye ajira portal

sepema

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2019
Posts
659
Reaction score
1,101
Salaaam! Kuna dogo aliomba kazi kupitia ajira portal.Anadai hakuwa kwenye mazingira mazuri hivyo akashindwa kupata kinachoendelea kwenye akaunti yake.Jana kachungulia kakuta kapangiwa kituo cha kazi tangu mwezi Augost. Mnaweza kushaurije kwenye hili wakuu?
 
Kama ni Halmashauri aende tu ila kama ni taasisi nyeti ni kamzozo.
 
Aende tu kuna watu hawakuona hadi mwaka unaisha na miezi na bado hamna shida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…