Tumshauri kijana huyu cha kufanya, muda bado upo

Nilidhani upo specific na mtu mmoja, kumbe unaongelea collectively?

Watu wa hivyo wapo wengi, na huwezi toa ushauri au solution collectively, it won't work.
Mimi nipo hapa mkuu. Kimsingi sitofautiana sana na mfano aliotoa mtoa mada. Nimeshapewa ushauri na motivational speechs nyingi sana lakini zimekaa kinadharia zaidi. Naomba nisadie ajira au connection mkuu.
 
Hatuna hela za kuhonga tatizo
 
Mkuu pande zipi izo mnapiga izo dili za deiwaka nami nisogee? Kukaa kitaa bila mishe inaboa kinona
 
Sawa, sasa unampa alternative gani maana nyege sio hiyari lazima zitakukamata tu. Na kwa situation ya kijana uliemuongelea sio rahisi kuwa demu permanently, nafikiri unajua kwa sasa wakina dada kipaumbele chao ni pesa. Unamtaka aache nyeto sawa unampa alternative gani? Maana nyege lazima zimkamate hatake hasitake.
 
Upo dar? Ulianzia wap, mimi nipo maeneo ya mbagara nilishawahi kujaribu kiwanda cha nywele cha darling pale mbagara rangi 3 nimewahi asubuhi nikakutana na foleni ya kufa mtu wote wanasubiri kuingia
Nilifanya pale East African polybag, mbagala zakiem, ingawa inabidi utoe kitu ndo wanakupa kazi, pana rushwa hatari.
 
Hapo kwenye kujichua hapo ndyo papaya
Aache Mara moja kunaleta mikosi isiyoisha

Amtegemee Mungu ila pia ajichanganye na watu..kwenye mengi Kuna mengi...ajira ni ngumu sana tangu 2015...ila kukata tamaa mwiko
Kwenye kujichua asiache asije baka watoto maana kichupa lazima kijae
 
Hata kazi ya uchawa kaishindwa,mwambie awasiliane na Lucas mwashambwa nafasi bado zipo nyingi sana.
 
Swali Nje ya taaluma yake. Je nini hasa hupendelea kufanya? au ana kipaji gani? , Wenzetu huutumia neno "Passion", Je nini hasa passion yake.
 
Arudi kwao kwenye maziwa na asali. Kama ni kusaidia kukamua maziwa, kusafisha mazingira, afanye. Huyo itakuwa mwanzo wa kutegemewa na kuaminiwa na ndugu. Asijivunge, aombe msaada wa kuchanguwa mtaji, na kila mtu ana wake, muda ukifika atapata mwenza wa kuendana naye.

Sent from my moto g 5G (2022) using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…