Tumshauri kijana mwenzetu Adam Mchomvu achague A au B au C

Adamu ni talented sawa lakini sio Mtu serious, ni aina ya Watu wasiojali sana...ni vigumu sana kumpa usukani Mtu ambaye anaweza kusimamisha Gari popote ili avute sigara, na ukimuuliza utamuona wala haoni tatizo ni nini.

Kuhusu B12 wamesha team up na Mchomvu kwa muda na wameelewana na kuna kila dalili kuwa Mchomvu atabaki mpweke na B12 atakuwa mpweke kule alipoenda....ni kama naona uwezekano wa Mchomvu kuungana na B12.

Nadhani pia moja ya sababu za B12 kukubali 'kusaliti' kambi ni kuona kama amerundikiwa Watu pale, nahisi hakuridhia sana kuletwa kwa yule Dada wa amplifaya....sambamba na kutokuwepo tena kwa Jasiri Muongoza njia kumempa ujasiri wa kutokuogopa kusepa.
 
Katika watangazaji bongo wa hovyo na hawajui kitu basi ni ADAM MCHOMVU,

Adamu hajui kitu kabisa

Adamu hajui aongee nini wakati gani na aache kipi

Adamu hajui kabisa time Management nikisema hajui namaanisha nimeli-observe sana hilo

Yaani unamfananisha Adam na Bdozen really?

Pengo la dozen pale clouds sio rahisi kuzibika ni muda ndo utaongea

Atarudishwa kama alivyorudi PJ

Na hawa watoto wa vipindi vya mchana na burudani wa radio karibu zote Wana-copy kutoka kwa Dozen

Am out.
 
Nakazia mkuu [emoji116]

Nadhani pia moja ya sababu za B12 kukubali 'kusaliti' kambi ni kuona kama amerundikiwa Watu pale, nahisi hakuridhia sana kuletwa kwa yule Dada wa amplifaya....sambamba na kutokuwepo tena kwa Jasiri Muongoza njia kumempa ujasiri wa kutokuogopa kusepa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23]

Pj yuko wapi?

Hata Gaddner G si yule wa enzi zile,,


Aliyerudi na bado yupo ktk Peak ni Masoud Ally Nyomwa KP [emoji232][emoji242] [emoji23][emoji23]



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo PJ aliyerudi yuko wapi sasahivi?
 
Adam nilimtoa maana kuna siku alikuwa anamdunga shishi kwenye kipindi wakati anacheza mpaka shishi akawa anaona aibu coz mjamaa alikuwa mbishi huko nyuma take kamshikilia kama mkewe kiufupi hakucheza nae kwa nidhamu .
 
@kawoli wewe mwenye usela wa kijanja umefanya kitu gani cha kumzidi?.
 
Nikweli kabisa
 
Mamy baby imekuaje tena ... Wamempiga chini au !?
 
Kweli tupu kabisa ... Wote wana muiga b12
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…