May Day
JF-Expert Member
- May 18, 2018
- 6,311
- 9,027
Adamu ni talented sawa lakini sio Mtu serious, ni aina ya Watu wasiojali sana...ni vigumu sana kumpa usukani Mtu ambaye anaweza kusimamisha Gari popote ili avute sigara, na ukimuuliza utamuona wala haoni tatizo ni nini.
Kuhusu B12 wamesha team up na Mchomvu kwa muda na wameelewana na kuna kila dalili kuwa Mchomvu atabaki mpweke na B12 atakuwa mpweke kule alipoenda....ni kama naona uwezekano wa Mchomvu kuungana na B12.
Nadhani pia moja ya sababu za B12 kukubali 'kusaliti' kambi ni kuona kama amerundikiwa Watu pale, nahisi hakuridhia sana kuletwa kwa yule Dada wa amplifaya....sambamba na kutokuwepo tena kwa Jasiri Muongoza njia kumempa ujasiri wa kutokuogopa kusepa.