Tumshauri kijana mwenzetu Adam Mchomvu achague A au B au C


Mbona So So Fresh anaiendesha vizuri?
 

Vipindi vya HipHop havina wadhamini, hakuna Media itayoruhusu kupoteza airtime kwenye kitu ambacho hakina faida.
 
Sio kwamba yeye ndio Anajua sana sema ana unyamwezi fulani hivi ilabanhi nyingi. Muhimu atafute ushindani mwingi.
Ukisema umfananishe lil Ommy na Mchovu. Mchovu sio mbunifu. Swaga zake zile zile. Kiufupi atafute changamoto zingine
 
Twangala Twizzy The navigator himself,, B12 usimfananishe na machizi

He is King of afternoon show.
 
Twangala Twizzy The navigator himself,, B12 usimfananishe na machizi

He is King of afternoon show.
Nakubali ulichosema,, kuna kitu cha ziada Mola alimzidishia B12,, hao watangazaji woooote wa kizaz kipya huyo ni kama Icon yao,, wanafata swagga zake,, na jamaa ni mjanja mjanja longtime,, ..

Jamaa afungue tu Radio yake [emoji23]

Kuna mtu atahoji mtaji atapata wapi![emoji23][emoji86]

Chini ya jua kila kitu kinawezekana isipokuwa kifo tu,
 
Ushari huu ni mzuri endapo utamfikia ila ninaimani itamuwia vigumu sana kuchukua uamuzi kama huu kwani yeye mwenyewe anaonesha kitu kama kuridhika na si wakupambania nafasi yoyote kwakweli inauma sana kwani sote tunafahamu uwezo wa brother Adam lakini sijui yeye mwenyewe anafikiria nini embu tuone nini mwisho wa dharau hizi
 
Adam ni mtangazaji wa entertainment ambaye nimekuwa nikimkubali kwa muda mrefu, ukimsikiliza ni lazima ufurahi hata kama ulikuwa na huzuni, tatizo lake ni kwamba hajawahi kuwa serious[emoji3][emoji3], yeye ni mtu wa masihara muda wote kiukweli anahitaji speed governor, hawezi kujiendesha mwenyewe. Yaani yule ni mfano wa wahuni ambao wamekuwa wapiga story wazuri kijiweni ukaamua kumpiga msasa kidogo wa shule then umuambie atangaze kwenye chombo cha habari what do u expect? Yaani kale kabangi hakawezi kuisha, sema ndo kinachonifanya nimpende kuliko wengine kwenye hicho kipindi, yuko real[emoji3][emoji3][emoji3]
 
MTU Mrefu πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
 

adam na kennedy nani analipwa mshahara mkubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…