Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,012
Mimi ni Dada wa miaka 32 niliolewa nikiwa na umri wa miaka 19 nimeishi na uyu mwanaume zaidi ya miaka 10 na tumefanikiwa kuwa na watoto watatu.
Tatizo ni siku za karibuni amekua hanijali, hulala nje nikiuliza ni kipigo, anakunywa pombe sana akirudi nikipigo, nikifanya jambo dogo nikipigo tu. Kiukweli inaniumiza kisaikolojia na ninaitaji kulea wanangu.
Tumefanikiwa kujenga na ningependa kupata msaada wa kisheria, nimchukulie hatua gani kisheria ukizingatia hatuna ndoa ya kamisani au kimila ila tulikua tunataraji kufunga.
Naomba msaada wako wa kisheria na mawazo. Asante
Ushauri wangu utazngatia haya yafuatayo...
1. Je umekaa nae chini kipindi hajatumia kilevi na kuzungumza nae juu ya tabia yake kubadilika!?
2. Je bado mnakutana kimwili.!? Kama ni ndio, kwa nn mda wa tendo usiutumie kuelezea hisia zako na kmwambia abadilike
3. Wazazi wenu si wanajua kuwa mnaishi kindoa..!? Hebu jaribu kuwaeleza tatizo uone usuluhishi wao utaleta impact gani ktk mahusiano yako na mwanaume.
4. Je ww ni independent au dependant!? Kama ww ni independent basi nakushauri ignore the fool na fanya yako for your childrens sake, ww mmeo akija nyumbani be cool and pretend nothing is wrong. Find something to keep you distracted kama kusaidia watoto homework au usafi wa ndani. Anza kjibana ujiestablish kimaisha ili akizingua unasepa unaenda kwako. Kama ww ni dependant basi vumilia tuu maana ukijaribu na ww kupanda juu nyumba itakuwa moto kwako na watoto.
Think carefully on the matter na pia jua kwamba mahakama itakuletea complication ktk social life na in the future utapata sintofahamu on the reaction of ur kids juu ya ww na baba yao kuburuzana mahakamani.