Mao ze dong
JF-Expert Member
- Aug 28, 2012
- 941
- 1,012
Mimi ni Dada wa miaka 32 niliolewa nikiwa na umri wa miaka 19 nimeishi na uyu mwanaume zaidi ya miaka 10 na tumefanikiwa kuwa na watoto watatu.
Tatizo ni siku za karibuni amekua hanijali, hulala nje nikiuliza ni kipigo, anakunywa pombe sana akirudi nikipigo, nikifanya jambo dogo nikipigo tu. Kiukweli inaniumiza kisaikolojia na ninaitaji kulea wanangu.
Tumefanikiwa kujenga na ningependa kupata msaada wa kisheria, nimchukulie hatua gani kisheria ukizingatia hatuna ndoa ya kamisani au kimila ila tulikua tunataraji kufunga.
Naomba msaada wako wa kisheria na mawazo. Asante