Tumshauri nini ili aweze kuendelea na masomo ?

Tumshauri nini ili aweze kuendelea na masomo ?

Joined
Sep 11, 2014
Posts
47
Reaction score
7
Nina rafiki yangu alimaliza form four mwka 2010 na alipata division two ya point18, lakin hakuendelea na masoma kutokana na matatizo yakifamilia yaliyotokea na mwaka huu alichaguliwa kujiunga na chuo cha utabibu tandabui kuchukua diploma in medicine.

Lakin nako ameshindwa kwenda kutokana na sababu za kiuchumi,naomba mwenye mawazo yeyote ya kusaidia katika hil tunaomba mawazo yake,mawazo yako tunayategemea hata kama kuna mtu au shirika linaloweza kumsaidia plz tusaidie kwa hilo jaman,asanteni sana, naomba kuwasilisha ombi.
 
nina rafiki yangu alimaliza form four mwka 2010 na alipata division two ya point18,lakin hakuendelea na masoma kutokana na matatizo yakifamilia yaliyotokea na mwaka huu alichaguliwa kujiunga na chuo cha utabibu tandabui kuchukua diploma in medicine lakin nako ameshindwa kwenda kutokana na sababu za kiuchumi,naomba mwenye mawazo yeyote ya kusaidia katika hil tunaomba mawazo yake,mawazo yako tunayategemea hata kama kuna mtu au shirika linaloweza kumsaidia plz tusaidie kwa hilo jaman,asanteni sana, naomba kuwasilisha ombi.
Tangu 2010 hajapata dili la kumfanya apate hiyo hela?
 
Back
Top Bottom