Mkuu hebu eleza faida za hiyo satelite kwa uchumi wa nchi na namna itakavyomkomboa maskini kupata mahitaji yake ya kila siku!...
ameeleza moja kwamba gharama za internet zitakuwa chini, mengine amesema tusubiri wajuziMkuu hebu eleza faida za hiyo satelite kwa uchumi wa nchi na namna itakavyomkomboa maskini kupata mahitaji yake ya kila siku!
Kama ni jambo lenye tija na la kuinua uchumi na imani viongozi wataliangalia na kuwekeza hapo.
Ila kama halina tija its just something for prestige only, for now big NO!!
Upo sahihi ndugu yetuMkuu hebu eleza faida za hiyo satelite kwa uchumi wa nchi na namna itakavyomkomboa maskini kupata mahitaji yake ya kila siku!..
Hiyo mambo ya satellite kwa sasa siyo kipaumbele cha watanzania maana bado kuna mambo mengi sana ya muhimuInternet ya Satelite ni gharama zaidi kuliki fibre na hata speed nayo ipo chini sana.
Labda kwa ajili ya matumizi mengine.
Haya mambo ndiyo sawa na ya kurukia SGRameeleza moja kwamba gharama za internet zitakuwa chini, mengine amesema tusubiri wajuzi
Binafsi sioni manufaa yake kwanguNipo kushuhudia hoja nzito nzito kuhusu swala hili la satelaiti ya taifa toka kwa wataalam.
Mkuu, hapana kabisa, nadhani SGR ina umuhimu mkubwa sio ya kulinganishwa na mambo kama hayaHaya mambo ndiyo sawa na ya kurukia SGR
Mkuu tupe somo kamiliInternet ya Satelite ni gharama zaidi kuliki fibre na hata speed nayo ipo chini sana.
Labda kwa ajili ya matumizi mengine.
Hivi unajua kuwa Indonesia bado wanatumia mtandao wa 2G na wako mbali sana na sisi kimaendeleo? Nashauri ututengenezee wewe tuirushe. Wakujisifu ni wanaotengeneza za kwao na kusaidiwa kurusha tu ila mtambo ni wa kwaoIkifika July mwaka huu Rwanda watakuwa na satellite ya pili angani..ki nchi maskini kuliko sisi...
Kenya wanayo, Egypt wanazo 9...
Nimekusoma mkuu ila tatizo lipo ni lini itamalizika!Mkuu, hapana kabisa, nadhani SGR ina umuhimu mkubwa sio ya kulinganishwa na mambo kama haya
fikilia mpaka leo tunatumia medium Railway ambayo iliachwa na mkoloni zaidi ya miaka 200 iliyopita, hata mvua zikinyesha reli inahama na maji hivyo basi ni bora SGR
Mataga wameshaidaka fasta tayari kuingizwa kwenye Ilani 2025 - 2030; Kifugu cha 179(a)(v); Uk. 87 kitasomeka hivi; "Chama kinaiagiza Serikali kuhusu umuhimu wa kuwa na satelaiti angalau tatu za taifa ili kuboresha maisha ya wananchi wanyonge". Alimradi hadaa tu kwa wananchi kama kawaida yao.Nipo kushuhudia hoja nzito nzito kuhusu swala hili la satelaiti ya taifa toka kwa wataalam.
Hahahahahhahah..dah..imenibidi Michele walahMataga wameshaidaka fasta tayari kuingizwa kwenye Ilani 2025 - 2030; Kifugu cha 179(a)(v); Uk. 87 kitasomeka hivi; "Chama kinaiagiza Serikali kuhusu umuhimu wa kuwa na satelaiti angalau tatu za taifa ili kuboresha maisha ya wananchi wanyonge". Alimradi hadaa tu kwa wananchi kama kawaida yao.
Kunywa soda mama atalipa....HIVI UNAJUA KUWA INDONESIA BADO WANATUMIA MTANDAO WA 2G NA WAKO MBALI SANA NA SISI KIMAENDELEO? NASHAURI UTUTENGENEZEE WEWE TUIRUSHE. WAKUJISIFU NI WANAOTENGENEZA ZA KWAO NA KUSAIDIWA KURUSHA TU ILA MTAMBO NI WA KWAO
Wewe sikiamini kabisa,nakumbuka wakati Magu anachukua nchi ulishauri anunue ndege,baada ya kuzinunua wewe ukabadilika tena kuanza kusema kwa nini kununua ndegeIkifika July mwaka huu Rwanda watakuwa na satellite ya pili angani..ki nchi maskini kuliko sisi...
Kenya wanayo, Egypt wanazo 9.
Hii technology ipo available na gharama wala sio ya kutushinda kama Taifa
Ni nusu ya ndege moja tunazonunua au even chini ya hapo.
Faida zake ni nyingi mno kulingana na matumizi yake mnayotaka.
Kwenye suala la gharama za bando hili
Linaweza kabisa kutusaidia kupunguza gharama.
Tumshinikize Mama Samia hili lipewe kipaumbele. Tanzania Satellite irushwe angani ndani ya mwaka mmoja kutoka sasa....
Wajuzi zaidi mnaweza changia pale ambapo siko sahihi