The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,674 Apr 12, 2021 Thread starter #21 Bavaria said: Internet ya Satelite ni gharama zaidi kuliki fibre na hata speed nayo ipo chini sana. Labda kwa ajili ya matumizi mengine. Click to expand... Please explain zaidi.. Kama kuna watu kama Elon musk anataka Internet ikiwezekana iwe bure kabisa na atatumia Satellite... Why Sisi isitusaidie? Now kampuni zetu za simu kama zantel wanatumia Satellite za nje.. Wakitumia ya ndani bei haiwezi shuka?
Bavaria said: Internet ya Satelite ni gharama zaidi kuliki fibre na hata speed nayo ipo chini sana. Labda kwa ajili ya matumizi mengine. Click to expand... Please explain zaidi.. Kama kuna watu kama Elon musk anataka Internet ikiwezekana iwe bure kabisa na atatumia Satellite... Why Sisi isitusaidie? Now kampuni zetu za simu kama zantel wanatumia Satellite za nje.. Wakitumia ya ndani bei haiwezi shuka?
The Boss JF-Expert Member Joined Aug 18, 2009 Posts 49,320 Reaction score 117,674 Apr 12, 2021 Thread starter #22 Nyamatare1987 said: Wewe sikiamini kabisa,nakumbuka wakati Magu anachukua nchi ulishauri anunue ndege,baada ya kuzinunua wewe ukabadilika tena kuanza kusema kwa nini kununua ndege Click to expand... Tafadhali naomba nioneshe nilipo mshauri Magufuli anunue ndege Inawezekana umechanganya id
Nyamatare1987 said: Wewe sikiamini kabisa,nakumbuka wakati Magu anachukua nchi ulishauri anunue ndege,baada ya kuzinunua wewe ukabadilika tena kuanza kusema kwa nini kununua ndege Click to expand... Tafadhali naomba nioneshe nilipo mshauri Magufuli anunue ndege Inawezekana umechanganya id