Verrazanno
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 454
- 1,011
Wacha Kwanza tumalize hili la DPWKwenye majukwaa ya hadhara utasikia Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo
Tofauti hapo ni nini ?
Au utasikia "Asalam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo.
Zinatumika salamu za dini zote mbili ili kuleta balance, sasa kwa nini za Wakristo ziwe mbili? Na mbili zenyewe ni kitu kile kile , hatuoni kama matumizi haya ya salamu hizi ni kituko, ridiculous ?
Napendelea na ya Wasabato ipatikane.Bongo tunapenda sana kuridhishana. Hapa inatafutwa kila dhehebu lilidhike. RC walidhike, Walokole na waislam pia. Ni upuuzi tu
Inaitwa amsha-amsha hiyo.Wachangamke na kuacha kupiga soga.Wawe very attentives kukusikiliza.Ni mbinu tu ya kucheza na hadhira unayoongea nayo.Tukisema sisi tunaambiwa wadini semeni nyinyi... Hivi kwanini mtu asiseme salamu moja tu mfano habari za saizi basi kuliko kutaja misentensi kibao inayopoteza muda tu bure? Kwanza kutoa salamu za kila aina eti kubalansi kadamnasi mimi huwa naona ni uhuni tu na unafiki kwasababu utajilazimishaje kutamka maneno usiyoyaamini moyoni mwako?
Not a big deal dude! Wengine mbona wanaongezea mpaka za kikabila?Kwenye majukwaa ya hadhara utasikia Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo
Tofauti hapo ni nini ?
Au utasikia "Asalam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo.
Zinatumika salamu za dini zote mbili ili kuleta balance, sasa kwa nini za Wakristo ziwe mbili? Na mbili zenyewe ni kitu kile kile , hatuoni kama matumizi haya ya salamu hizi ni kituko, ridiculous ?
Kwenye majukwaa ya hadhara utasikia Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo
Tofauti hapo ni nini ?
Au utasikia "Asalam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo.
Zinatumika salamu za dini zote mbili ili kuleta balance, sasa kwa nini za Wakristo ziwe mbili? Na mbili zenyewe ni kitu kile kile , hatuoni kama matumizi haya ya salamu hizi ni kituko, ridiculous ?
Maana ya hiyo salamu ni ipi?? Si ni kiarabu tu hicho mkuu?Iyo assalamualaikum inahusikaje apo na salami hii ya kiislam sharti uwe uislam ndo uweze kutoa kwa waumini wa kiislam na ikitokea mkristo akitoa salamu iyo kwa muislam basi hautakiwi kuitikia kama wanavoitikia waislamu na unatapaswa umjibu neno salamu.muislam hatakiwi kumsalimia mkristo assalamualaikum ni haramu Hadi ataposilim kua muislam ndo utamsalimia assalamualaikum. [emoji1672][emoji1672]Iyo ndo elimu niliyopewa madrasa
Kwa hiyo kama mimi sio Mkatoliki wala Mlokole nimeachwa kwenye hii salamu... Unaona hilo ni sawa ?Tumsifu Yesu Kristo ni salaam wanatumia wakatoliki
Bwana Asifiwe inatumiwa na walokole