Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, what's the difference?

Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, what's the difference?

Sisi wasukuma tunatamkwa.
Asaalama lekwaaa.
Amani ya Bwana iwe nanyi.
 
Iyo assalamualaikum inahusikaje apo na salami hii ya kiislam sharti uwe uislam ndo uweze kutoa kwa waumini wa kiislam na ikitokea mkristo akitoa salamu iyo kwa muislam basi hautakiwi kuitikia kama wanavoitikia waislamu na unatapaswa umjibu neno salamu.muislam hatakiwi kumsalimia mkristo assalamualaikum ni haramu Hadi ataposilim kua muislam ndo utamsalimia assalamualaikum. [emoji1672][emoji1672]Iyo ndo elimu niliyopewa madrasa
Ulifunzwa ujinga achana nao... tofauti za kiimani haziondoi ubinadamu wako au kuongeza au kupunguza thamani ya utu.
 
Iyo assalamualaikum inahusikaje apo na salami hii ya kiislam sharti uwe uislam ndo uweze kutoa kwa waumini wa kiislam na ikitokea mkristo akitoa salamu iyo kwa muislam basi hautakiwi kuitikia kama wanavoitikia waislamu na unatapaswa umjibu neno salamu.muislam hatakiwi kumsalimia mkristo assalamualaikum ni haramu Hadi ataposilim kua muislam ndo utamsalimia assalamualaikum. [emoji1672][emoji1672]Iyo ndo elimu niliyopewa madrasa

Kwani Assalam Alaikum ni kiislamu au kiarabu?
 
Kwenye majukwaa ya hadhara utasikia Bwana Yesu Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo

Tofauti hapo ni nini ?

Au utasikia "Asalam Aleikum, Bwana Asifiwe, Tumsifu Yesu Kristo.

Zinatumika salamu za dini zote mbili ili kuleta balance, sasa kwa nini za Wakristo ziwe mbili? Na mbili zenyewe ni kitu kile kile , hatuoni kama matumizi haya ya salamu hizi ni kituko, ridiculous ?
Tatizo element za udini mioyoni mwa watu.... Hii inawafanya watu watafute namna ya kuvuta usikivu/kukubalika toka dini/dhehebu lisilo lake.

Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom