Sahihi. Divide and rule ndicho ninachokionaKuna Mwananchi anayekataa Reforms ?!!!!
Hakuna issue ni uwakilishaji unakuwepo in such a way ya kuweza kuingiliwa na kupigiwa Propaganda na mambo mengi yamekuwa politicize hivyo raisi sana kwa watawala na wanufaika kutumia divide and rule...
Ifike wakati mambo muhimu ya nchi na wananchi yabebwe kama ni ya kitaifa na ya wananchi na sio ya watu fulani (ukishasema hili ni la kwetu au kulivika sura ya ni la kwenu) mwisho wa siku mtalipambania wenyewe wakati linagusa wengi
Siyo 5000 ni sawa na 190,000Huyu dada mmoja ni wanaume 5000 huko lumumba.
Wako msalani wanakuja,ila huyu dada kaongea ya kweli kabisa!Nasubiri comments za chawa + kunguni wa mama 🤐
Leo Mange ndio model wako?Wakuu tumsikilize Miss Mange Kimambi kwa nini reform ni muhimu.
Pia Tumsikilize one of the Big Brain pale WASAFI . Wananchi hawafurahishwa na namna polisi wanavo behave kwenye minor issue.
-
Mwisho na kwa maoni yangu mimi kama Dr Megalodon Ndesaruo Mushi: Ukifanya a Simple survey; , asilimia 90 ya watanzania hawafurahishwi na uwepo wa Samia kama Rais. Hata wale lay persons kabisa …. watasema same thing.
Hawafurahishwi kwa sababu kuu zifuatazo;
1. Nchi imekosa Utulivu, amani na upendo,
2. Kuna mpasuko mkubwa sana wa kidini, ni Kama kuna vita ya chini kwa chini kati ya muslim na Christianity .
3. Financial management ya nchi imekuwa ni ya hovyo kuwahi kutokea. Rushwa imeongezeka maradufu. Rais alishawahi kutoa kauli yake kuwa watu wale kwa kamba yao ila sasa wasizidishe, wasifanye kufuru.
4. Hakuna nchi iliyowahi kuendelea kwa Misaada na kukopa. Malawi would be rich by far . In Tanzania , Deni la Taifa limekuwa kubwa sana na fedha hazijulikan zilipo…Rais alishakiri fedha zinaenda mifukoni mwa watu. Miradi mingi haikamiliki kwa kuwa hela hazionekani:
watu wanatoa tozo, donors wanatoa misaada, nchi inakopa… and still miradi ipo slow .kwa mfano mabarabara yanayojengwa hapo mjini ni mwaka wa 4 sasa yapo yapo tu …. The president doesn’t know what else to do … the most scariest thing
5. Nepotism ndani ya nchi imekuwa kubwa sana . Familia moja yote inamilikishwa Ofisi za Umma, the most scariest thing !
The president has lost a control … we must speak out sisi ndio WAAJIRI wake , analipwa zaidi ya 150M kwa mwezi kutoka kwenye kodi za wananchi
Dr Megalodon Mushi
Canada
Kati ya hoja zako 5, nakubaliana na wewe kwenye hoja 4! Hoja namba 2 naipinga! Kwa sababu ukija huku mtaani, haipo!Wakuu tumsikilize Miss Mange Kimambi kwa nini reform ni muhimu.
Pia Tumsikilize one of the Big Brain pale WASAFI . Wananchi hawafurahishwa na namna polisi wanavo behave kwenye minor issue.
-
Mwisho na kwa maoni yangu mimi kama Dr Megalodon Ndesaruo Mushi: Ukifanya a Simple survey; , asilimia 90 ya watanzania hawafurahishwi na uwepo wa Samia kama Rais. Hata wale lay persons kabisa …. watasema same thing.
Hawafurahishwi kwa sababu kuu zifuatazo;
1. Nchi imekosa Utulivu, amani na upendo,
2. Kuna mpasuko mkubwa sana wa kidini, ni Kama kuna vita ya chini kwa chini kati ya muslim na Christianity .
3. Financial management ya nchi imekuwa ni ya hovyo kuwahi kutokea. Rushwa imeongezeka maradufu. Rais alishawahi kutoa kauli yake kuwa watu wale kwa kamba yao ila sasa wasizidishe, wasifanye kufuru.
4. Hakuna nchi iliyowahi kuendelea kwa Misaada na kukopa. Malawi would be rich by far . In Tanzania , Deni la Taifa limekuwa kubwa sana na fedha hazijulikan zilipo…Rais alishakiri fedha zinaenda mifukoni mwa watu. Miradi mingi haikamiliki kwa kuwa hela hazionekani:
watu wanatoa tozo, donors wanatoa misaada, nchi inakopa… and still miradi ipo slow .kwa mfano mabarabara yanayojengwa hapo mjini ni mwaka wa 4 sasa yapo yapo tu …. The president doesn’t know what else to do … the most scariest thing
5. Nepotism ndani ya nchi imekuwa kubwa sana . Familia moja yote inamilikishwa Ofisi za Umma, the most scariest thing !
The president has lost a control … we must speak out sisi ndio WAAJIRI wake , analipwa zaidi ya 150M kwa mwezi kutoka kwenye kodi za wananchi
Dr Megalodon Mushi
Canada
Siasa za karne hii hazijawahi kumnufaisha mlalahoi siasa zimekuwa platforms za kupata Kura ili uende Kula...; Kama mlipa kodi hii inasikitisha sana...SIasa za instqgram hazijawahi shinda siasa za nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa
Kupitia hizi keybords Nasubiri Chadema waandamane wakifunga mitaa yote ya nchi hii
Nasubiri wanachadema wajazane mahakamani
Nasubiri wanachadema washike dola