Tumsikilize Mange Kimambi pamoja na Edo wa WASAFI

Kwa sasa tutafute tu title nzuri ya Movie then, vijana wa kikorea waingie kwenye Camera.
 
Wewe ni dokta wa kutibu nguruwe na mbwa?
 
Hiyo no 2 na 5 umezitengeneza labda kama ulete ushahidi hapa vinginevyo ni chuki tu zinawasumbua
Hakuna Mwananchi anaemtaka Samia, don’t believe me , go and survey by yourself .

Unaweza kuniambia ni nini hasa Ma’am amefanya as of today . Zaidi ya kututupia Mipasho na kutisha watu-
 
SIasa za instqgram hazijawahi shinda siasa za nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa

Kupitia hizi keybords Nasubiri Chadema waandamane wakifunga mitaa yote ya nchi hii

Nasubiri wanachadema wajazane mahakamani

Nasubiri wanachadema washike dola
muwe mnajikita kwenye hoja iliyo mezani tena mkichangia kwa kuonyesha uweledi wa kuchambua hoja iliyomezani
acheni ushabiki wa kisiasa
 
Ukweli ni kwamba huu ndio wakati pekee ambao Mungu ametupa wa kuondoa hicho kikundi kidogo kinachotunyonya. Wana CCM wenye uchungu na nchi hii tuungane na wapinzani na wanaharakati kukiondoa hicho kikundi na kuandika Katiba mpya yenye kuwarudishia wananchi mamlaka yao yaliyoporwa.
 
SIasa za instqgram hazijawahi shinda siasa za nyumba kwa nyumba mtaa kwa mtaa

Kupitia hizi keybords Nasubiri Chadema waandamane wakifunga mitaa yote ya nchi hii

Nasubiri wanachadema wajazane mahakamani

Nasubiri wanachadema washike dola
Wapite nyumba kwa nyumba muwauwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…