Tumtangulize mbele Mwenyezi Mungu ~ Mbowe

Tumtangulize mbele Mwenyezi Mungu ~ Mbowe

Siku atakapotoka dunia nzima watajua Watanzania wanataka katiba mpya ccm hawataki
 
Tuendelee kumtanguliza Mungu daima maana wao kwa wanayoyafanya kwa Watanzania ni wazi kuwa hawaamini uwepo wa Muumba wala uwepo wa hukumu siku ikifika,,
 
Siro Kama ni mkristo na anaenda kanisani Basi anafanya kufuru Kama alizifanyia magu jpili anasimama madhabahuni jtatu anauwa kuteka na kubambikia kesi watu.
 
Bahati mbaya Mungu hapokei dua/sala/maombi ya mkosaji mpaka pale kwanza atubie makosa yake na pia ajutie na aahidi kuto kurudia tena maovu aliyo yatenda.
Kwa binaadamu mwenzako unaweza kumhadaa lkn sio Mungu.
 
Ole wao wanaowatendea na kuonea wananchi wasio na hatia. CCM wanakosea sana kubambikia watu kesi za ajabu. CCM na polisi sio Sahihi kabisa kufanya hivyo
 
Wacha wao wawatangulize polisi, sisi tumtangulize Mungu.
Tanzania hakuna jeshi la polisi, kuna kikundi cha wakamata bangi, bodaboda na wanaopambana na chadema.
 
Pole na mkeka wa DED
Hata kama siufukuzii u DED, lakini kwa vile napitia kipindi kigumu cha hali ngumu sana ya ugumu wa maisha, kutokana na hali ya mdodoro wa uchumi due to covid 19, nimepigika sana hivyo niwe mstaarabu kwa kupokea pole yako, nasema asante.

Msimamo wangu kuhusu teuzi, kama nilikuwa nalipa mshahara wa DC , mtu kama mimi sio mtu wa kuhitaji teuzi, bali kujengewa tuu mazingira kama enzi za JK, tumsaidie Mama Samia, kuchangia mishahara ya ma DC wake kadhaa!.
P
 
Kwani mbowe alitumia muda wake vizuri kuongea maneno machafu jukwaani na kina mdude. Wembe waliopanga kunyolea umegeuka kisu kuwachinja
 
Hata kama siufukuzii u DED, lakini kwa vile napitia kipindi kigumu cha hali ngumu sana ya ugumu wa maisha, kutokana na hali ya mdodoro wa uchumi due to covid 19, nimepigika sana hivyo niwe mstaarabu kwa kupokea pole yako, nasema asante.

Msimamo wangu kuhusu teuzi, kama nilikuwa nalipa mshahara wa DC , mtu kama mimi sio mtu wa kuhitaji teuzi, bali kujengewa tuu mazingira kama enzi za JK, tumsaidie Mama Samia, kuchangia mishahara ya ma DC wake kadhaa!.
P
Pascal wewe ulikuwa upande wa kukemea uvunjaji wa katika, sheria na haki za binadamu. All of a suden ukageuka na kuwa upande wa watesi following suit to those defectors who joined forces with CCM wakitafuta uteuzi. Basi logical conclusion ikawa kuwa mtu kama wewe mpiganaji wa haki za binadamu, ghafla unabadilika na kujiunga na WATESI WA UMMA, basi kuna kitu unatafuta maana mkono mpu haulambwi.... Looking for favour from the rulers!
 
Back
Top Bottom