Tumtolee Mungu Vitu Vinavyotugharimu Zaidi

Andika refu ila halina maana, mtoa mada nahakika hauna akili
 
Warumi 12:1-2 inasisitiza kuitoa miili yetu kama sadaka ya dhabihu. Sadaka ya dhabihu ni sadaka ya kuteketezwa moja kwa moja. Sasa Mungu anasisitiza tuitoe miili yetu mbele zake, yaani maisha yetu kupitia miili yetu tuitoe kikamilifu mbele zake ili dhambi isiishi teena ndani mwetu.

Hii ndio sadaka kuu na yenye maana mbele za Mungu kuliko chochote unachoweza kukitoa.
 
Ndo mlivyogeuzwa mazezeta na hao wahubiri matapeli kuwa sadaka lazima iptite kwenye madhabahu!.Ujinga wa kidini opium of the poor and ignirant people.Yaani usiwasaidie watu kisa lazima ipite kwa mwampisa,suguye,Kiboko ya wachawi,Frank kilawah,Zumaridi,Kuhani musa!.Huyo mungu atskuwa hana maana yeyote sasa.
 
unachagua madhabahu ya ufalme wa giza au nuru.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…