BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,327
- Thread starter
- #21
Wengine wameanza na kumpangia na matumizi ya mshahara
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mmoja nimeona anawauliza Aston Villa yakuwa wiki moja yake Samata si imeshaisha wamlipe Mshahara wake wa wiki,Dah wabongo bwana hadi mshahara wa mtu wanauulizia
Sent using Jamii Forums mobile app