Nadhani Hili Ndo Swali Kwa KirangaKama hakuna mungu/ Mungu kuna nini?
Hua nasoma jarida la Amkeni! La mashahidi wa Yehova, hua wana swali lao baada ya kuelezea kitu, mfano ufanyaji kazi wa goti, swali husema hivi...
Unadhani huu mfumo ulitokea bahati mbaya au kuna mtu aliubuni?
Kwa ulimwengu wa sasa kuna watu fulani wasiomuamini Mungu wanashika misingi ya ndani kabisa ya kuamini Mungu kuliko wengi sana wanaosema wanamuamini Mungu.Wengi wetu tulikuwa tunamchukulia Kiranga kama mtu asiyependa dini lakini kupitia mjadala aliourudisha juzi Deadbody na badae mods wakafanya yao kuunga na thread ya RGforever nimeweza kuelewa kumbe mkuu Kiranga ule mtazamo wake juu ya dini upo upande gani. Kama alivosema yeye ni libertan basi nampongezi kuuona mwanga-nusu ingawa nasikitika hajaweza kujua Mungu anayeona ni blasiphemy yawezekana akawa anamuona katika views/mtazamo tofauti.
Nachokushauri mkuu Kiranga pitia na mada ya theism katika muda wako uweze jua au tuweze eleweshana huyu Mungu katika view ingine isiyohusisha sadaka😉. Mimi ni Muumini katika mfumo wa Deism sababu niiliona/nilifatilia mantiki yake. statement yako imenifikirisha sana na tukitumia concept ya logical reassoning nachelea sema (ingawa siruhusiwi hukumu), Kiranga umeutumia ubongo wako vizuri; you gotta seat in Heaven.
- wick
Mods msihamishe, huu sio uzi wa dini shubaaamit!!!!...
Sanaa lakini kama ulivyosema mkataze mpumbavu kwa kuuuita upumbavu!Kwa ulimwengu wa sasa kuna watu fulani wasiomuamini Mungu wanashika misingi ya ndani kabisa ya kuamini Mungu kuliko wengi sana wanaosema wanamuamini Mungu.
Dhana hii ni ngumu sana kuielewa.
Nafikiri inahitaji maelezo zaidi.
unapaswa kulipia kiasi gani !!? ili upate access ya kujiunga na jukwaa kuu !!?Bahati mbaya sina access ya jukwaa letu pendwa mpe salam mwenyekiti makaveli10 na katibu Castr Najua hawajalitelekeza chini ya uangalizi wa mhasibu Ambiele Kiviele na Somji Juma
hahaa mimi sipo huko ndio maana nikakuuliza ..kama waona tatizo kunielekeza hapa basi ni pm mkuu ...mimi nimkubwa kukosekana kuwepo katika jukwaa la wakubwa nikuto jitendea haki[emoji2][emoji2] katibu Castr anajua gharama lakini umri kigezo muhimu nazani na wewe upo kule (jukwaa la wakubwa)!..
Unaonekana ni mjumbe mtiifu.[emoji2][emoji2] katibu Castr anajua gharama lakini umri kigezo muhimu nazani na wewe upo kule (jukwaa la wakubwa)!..
Mkuu umeadimika wewe na Mdogo wako.Kwa ulimwengu wa sasa kuna watu fulani wasiomuamini Mungu wanashika misingi ya ndani kabisa ya kuamini Mungu kuliko wengi sana wanaosema wanamuamini Mungu.
Dhana hii ni ngumu sana kuielewa.
Nafikiri inahitaji maelezo zaidi.
Una uhakika?Kiranga alistaafu kupost Jf.
[emoji23][emoji23] naachaje changia katibu, sema kuna huyo member mpya inabidi ajumuike vikao na yeye!. Nasubiri mapicha na video ya harusi toka kwa mjumbe Ambiele Kiviele najua huwa hatuangushi vikaoni na video za haja!Unaonekana ni mjumbe mtiifu.
Unaingia vikaoni ila jina kwenye mahudhurio huandiki.
Hoja hauchangii.
Huu utoro tunaupiga vita kila leo.
Hivi The Bold yuko wapiKiranga alistaafu kupost Jf.
is it a bad thing or a good thing!?..
is it a bad thing or a good thing!?..
Mchango ni hiari ya MTU!Mfano hii michango ya kila mara makanisani unazani ni haki?..