Tumuelewe Kiranga!.

Tumuelewe Kiranga!.

Kama hakuna mungu/ Mungu kuna nini?

Hua nasoma jarida la Amkeni! La mashahidi wa Yehova, hua wana swali lao baada ya kuelezea kitu, mfano ufanyaji kazi wa goti, swali husema hivi...

Unadhani huu mfumo ulitokea bahati mbaya au kuna mtu aliubuni?
Nadhani Hili Ndo Swali Kwa Kiranga
 
Wengi wetu tulikuwa tunamchukulia Kiranga kama mtu asiyependa dini lakini kupitia mjadala aliourudisha juzi Deadbody na badae mods wakafanya yao kuunga na thread ya RGforever nimeweza kuelewa kumbe mkuu Kiranga ule mtazamo wake juu ya dini upo upande gani. Kama alivosema yeye ni libertan basi nampongezi kuuona mwanga-nusu ingawa nasikitika hajaweza kujua Mungu anayeona ni blasiphemy yawezekana akawa anamuona katika views/mtazamo tofauti.
Nachokushauri mkuu Kiranga pitia na mada ya theism katika muda wako uweze jua au tuweze eleweshana huyu Mungu katika view ingine isiyohusisha sadaka😉. Mimi ni Muumini katika mfumo wa Deism sababu niiliona/nilifatilia mantiki yake. statement yako imenifikirisha sana na tukitumia concept ya logical reassoning nachelea sema (ingawa siruhusiwi hukumu), Kiranga umeutumia ubongo wako vizuri; you gotta seat in Heaven.

- wick
Mods msihamishe, huu sio uzi wa dini shubaaamit!!!!...
Kwa ulimwengu wa sasa kuna watu fulani wasiomuamini Mungu wanashika misingi ya ndani kabisa ya kuamini Mungu kuliko wengi sana wanaosema wanamuamini Mungu.

Dhana hii ni ngumu sana kuielewa.

Nafikiri inahitaji maelezo zaidi.
 
Sanaa lakini kama ulivyosema mkataze mpumbavu kwa kuuuita upumbavu!
 
unapaswa kulipia kiasi gani !!? ili upate access ya kujiunga na jukwaa kuu !!?
[emoji2][emoji2] katibu Castr anajua gharama lakini umri kigezo muhimu nazani na wewe upo kule (jukwaa la wakubwa)!..
 
[emoji2][emoji2] katibu Castr anajua gharama lakini umri kigezo muhimu nazani na wewe upo kule (jukwaa la wakubwa)!..
hahaa mimi sipo huko ndio maana nikakuuliza ..kama waona tatizo kunielekeza hapa basi ni pm mkuu ...mimi nimkubwa kukosekana kuwepo katika jukwaa la wakubwa nikuto jitendea haki
 
[emoji2][emoji2] katibu Castr anajua gharama lakini umri kigezo muhimu nazani na wewe upo kule (jukwaa la wakubwa)!..
Unaonekana ni mjumbe mtiifu.
Unaingia vikaoni ila jina kwenye mahudhurio huandiki.
Hoja hauchangii.

Huu utoro tunaupiga vita kila leo.
 
Kwa ulimwengu wa sasa kuna watu fulani wasiomuamini Mungu wanashika misingi ya ndani kabisa ya kuamini Mungu kuliko wengi sana wanaosema wanamuamini Mungu.

Dhana hii ni ngumu sana kuielewa.

Nafikiri inahitaji maelezo zaidi.
Mkuu umeadimika wewe na Mdogo wako.

Nimezoea kupata michango ya watu wenye kufikiri tofauti.

Sasa wewe na mdogo wako mmetutupa ndugu zenu

Cc Kiranga Al-Watan
 
Unaonekana ni mjumbe mtiifu.
Unaingia vikaoni ila jina kwenye mahudhurio huandiki.
Hoja hauchangii.

Huu utoro tunaupiga vita kila leo.
[emoji23][emoji23] naachaje changia katibu, sema kuna huyo member mpya inabidi ajumuike vikao na yeye!. Nasubiri mapicha na video ya harusi toka kwa mjumbe Ambiele Kiviele najua huwa hatuangushi vikaoni na video za haja!
 
Mie upande wangu naamini ninachokiamini na niko comfortable na kile nachokiamini,sijali mtu mwengine anaamini nini hilo huwa halinihusu sanasana nitajaribu tu kujifunza imani hyo na kuona mambo gani mazuri naweza kuchukua kwake.
 
Imani ni kuwa na hakika so tusichoshane abaki na imani yake atuache imani yetu simple like that
 
Ofcourse it's a good thing but these philosophers everything wana reason kwanza everything..... na ndo hapa huja na hoja na mawazo tofauti tofauti ambayo huprolong mdaharo

cc Smart911
Mfano hii michango ya kila mara makanisani unazani ni haki?..
 
Back
Top Bottom