Tumuelewe Kiranga!.

Swala LA Mungu ni kubwa Sana'a!
Ni kama kusema
Mtoto na MTU mzima!
Wanapokuwa wanabishana
 
Tambueni binadamu tumepewa sehemu ndogo Sana'a ya akili,maarifa na kufikiri!
Lakin endapo tutatoka katika ulimwengu huu!
Ndipo tutaweza kuelewa na kujua baadhi ya mambo ambayo kabla (tupo dunian) hatukuwah yajua!

Mtindo kaz wa ubongo wetu
Sometimes ufikir vitu ambavyo haviwez Ku exist katika ulimwengu huu(mambo ambayo hayapo dunian)so tunapokuwa tunayafikir na kwa kuwa akili zetu haziwez elewa(coz hazina uwezo/haziwez fikir mambo ambayo yapo mbal na ulimwengu huu)
Ndipo huwa tunakuja na majibu kinzani.
Huyu atasema HIV na mwingine vile coz ya kila MTU atatazama kwa mtazamo wake(akili,utashi na ufahaamu)wake utakavyomtuma!!!
 
Also mawazo ya MTU/watu Mara nyingi huwa yanaweza kuwa hivi
1-Kundi fulan LA watu kukubali wazo husika
2-Kundi lengine kukataa wazo husika
3-Kundi lingine kuwa neutral (fata upepo)

Hivyo basi katika hayo makundi kundi ambalo upata sifa/ushindi ni lile kundi ambalo
1-litakuwa na ushawishi(fact za maana za kuwashawish wengine)
2-Ambalo litakuwa na idadi kubwa ya watu(wengi wape)

Natumain nimeeleweka katka ili swala kuhus uwepo wa MUNGU
 
Mchango ni hiari ya MTU!
Also kuna michango ambayo mnachanga na mnapewa muelekeo wake na mrejesho
So kwa kanisa letu naona n haki 100%
dhehebu gani!?..
 
dhehebu gani!?..
EAGT mkuu!
Tuna katiba ya kanisa na muongozo mzuri Sana'a!
Tunapewa utaratibu wa matumiz ya sadaka
Na hapa napokwambia tumechanga pesa ya ujenz kanisan kwetu na ujenz unaona unaendelea na mchanganuo tunapewa!!
So kwetu naona n sahihi tena wanatu feva sanaa
 
Kwa ulimwengu wa sasa kuna watu fulani wasiomuamini Mungu wanashika misingi ya ndani kabisa ya kuamini Mungu kuliko wengi sana wanaosema wanamuamini Mungu.

Dhana hii ni ngumu sana kuielewa.

Nafikiri inahitaji maelezo zaidi.
Welcome back mkuu Kiranga! Najifunza mengi sana kutoka kwako. Nilisikitika sana ulipoaga jukwaani
 
Kwa ulimwengu wa sasa kuna watu fulani wasiomuamini Mungu wanashika misingi ya ndani kabisa ya kuamini Mungu kuliko wengi sana wanaosema wanamuamini Mungu.

Dhana hii ni ngumu sana kuielewa.

Nafikiri inahitaji maelezo zaidi.
Kumbe mkuu mwenyewe ulisharudi jukwaani!ila bado unachagua pa kukaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…