Inferior Complex
JF-Expert Member
- Oct 17, 2014
- 3,655
- 5,023
Swala LA Mungu ni kubwa Sana'a!
Ni kama kusema
Mtoto na MTU mzima!
Wanapokuwa wanabishana
Ni kama kusema
Mtoto na MTU mzima!
Wanapokuwa wanabishana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
EAGT mkuu!dhehebu gani!?..
Welcome back mkuu Kiranga! Najifunza mengi sana kutoka kwako. Nilisikitika sana ulipoaga jukwaaniKwa ulimwengu wa sasa kuna watu fulani wasiomuamini Mungu wanashika misingi ya ndani kabisa ya kuamini Mungu kuliko wengi sana wanaosema wanamuamini Mungu.
Dhana hii ni ngumu sana kuielewa.
Nafikiri inahitaji maelezo zaidi.
Kumbe mkuu mwenyewe ulisharudi jukwaani!ila bado unachagua pa kukaaKwa ulimwengu wa sasa kuna watu fulani wasiomuamini Mungu wanashika misingi ya ndani kabisa ya kuamini Mungu kuliko wengi sana wanaosema wanamuamini Mungu.
Dhana hii ni ngumu sana kuielewa.
Nafikiri inahitaji maelezo zaidi.