Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Namuombea mke wa Rais mama Salma Kikwete ambaye yuko nje ya nchi (jina na hospitali vimehifadhiwa hadi serikali wakiamua kuwaambia!) kwa matibabu apone hima na kurudi nyumbani salama. Tunakutakia kila la kheri chini ya mikono ya madaktari ili Mnyezi Mungu akupe uzima na afya ya mwili.
M. M.
Kama ni mgonjwa kwa nini wafanye siri. Mbona wengine tunatangaziwa mapema kabla hata ya kuondoka kwenda kwa hao mabingwa wa magonjwa ambayo wataalamu wa hapa kwetu wanaonekana kutoyaweza.
Mungu ambariki akapate kupona mapema,
Anaumwa nini?au kaenda kubadilisha damu?sasa apone mapema ugonjwa gani?tunatakiwa tujue anaumwa nini ili tunaposali tunautaja na ugonjwa halafu huo ugonjwa unateketea kwa nguvu za MUNGU!
First lady, taratibu hata kama kaenda kubadilisha damu whats the big deal? halafu you dont have any right ya kujua anaumwa nini, ugonjwa ni private matter ya mgonjwa na daktari na ikibi sana basi familia. sas wewe unataka kujua ili iweje? we muombee tu apone

Chonde chonde
Naombeni sana asije akawa kapelekwa St. Thomas
...Salma,amepitia mambo mengi mpaka kuwa First Lady hivyo check up na tiba toka kwa mabingwa ni haki yake mama yetu.