Safi kabisaNamna iyo ona wajuba walivyopendezaView attachment 3161573
Ni kweli uyasemayo ila naomba kuuliza kizushi, hivi kuna mtu kweli anafuata ushauri wa huyu Dk?Mimi binafsi Sijawahi kuelewa mafundisho ya Prof Janabi,ni kama hataki tufe au hataki tufurahie maisha.
Yaani mtu eti Marufuku kula milo mitatu mara usile nyama nyekundu,juice,chaoati nk
Sasa ili mafundisho yake yakubalike tumuombee kwa Mungu atoboe miaka 90+ kinyume chake mimi na vichwa ngumu wenzangu tutaanza kula supu chapati saba kila siku tukishushia juice,soda ,maana tutajua alikuwa anatudanganya
Live longer Prof
Yeye mwenyewe afya yake haisomeki utafikiria anashindia kashataMimi binafsi Sijawahi kuelewa mafundisho ya Prof Janabi,ni kama hataki tufe au hataki tufurahie maisha.
Yaani mtu eti Marufuku kula milo mitatu mara usile nyama nyekundu,juice,chaoati nk
Sasa ili mafundisho yake yakubalike tumuombee kwa Mungu atoboe miaka 90+ kinyume chake mimi na vichwa ngumu wenzangu tutaanza kula supu chapati saba kila siku tukishushia juice,soda ,maana tutajua alikuwa anatudanganya
Live longer Prof
Sasa kuna faida gani kuishi ikiwa social life imekufa?Hii kitu huwa nasema... Japo anayoongea ni kweli kabisa. Likimkuta yeye binafsi haimaanishi anayoyahubiri na kuyaishi si ya kweli.
Nimefanya extra restrictive diet anayoongelea. Ni ngumu, ina matokeo mazuri kiafya, ila inaua social life kabisa.
Nilikosa nidhamu ya kuifanya long term
Sio rahisiHii kitu huwa nasema... Japo anayoongea ni kweli kabisa. Likimkuta yeye binafsi haimaanishi anayoyahubiri na kuyaishi si ya kweli.
Nimefanya extra restrictive diet anayoongelea. Ni ngumu, ina matokeo mazuri kiafya, ila inaua social life kabisa.
Nilikosa nidhamu ya kuifanya long term
Ndio hapo sasa unajipimia....Sasa kuna faida gani kuishi ikiwa social life imekufa?