Tumuombee dua Prof. Janabi aishi maisha marefu, kinyume chake mafundisho yake yatapuuzwa, Taifa litaangamia kwa vitambi

Mkuu umefanya utafiti au unesikia kutoka kwa watu?
 
Ila yule mzee ukiomuona tu anaonekana afya yake mgogoro
 
Kula nyama yoyote Ila ustumie mafuta zaidi ya mafuta ya nyama yenyewe

Kula uwezavyo kwa maana duniani tuna pita na hauta kula Tena uendako

Hata ukiishi sikunyinhi vipi lakini elewa utakufa tu haijalishi utawai au utachelewa Ila utakufa

Acha kula vyakula vya kusindikwa Kama nyama za kopo, sausage,nk

Utafrahia uimara wa afya yako
 
Prof. Mpumbavu
Kila kitu anakataza.
Kama vitu vizuri vyote ni sumu nini maana ya dunia?
Hakuna chakula kinachoua mtu, Mungu hajamuumba mtu kwa udhaifu kiasi hicho.
Dhambi ndio inaua premature na si chakula
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…