Tumuombee Leejay49, leo anaingia chumba cha upasuaji kwaajili ya jicho na sikio

Tajiri Leejay49 mungu atamsaidia na atapona inshallah
 
MKUU toa na location, hata hospital tunaweza kufika. Hujui tu humu kuna watu wa aina gani
 
Sio kwa ubaya. Ila napoona mtu anakuwa tagged kwenye issue kama hizi (charity) halafu jina langu lisiwepo najisikia vibaya sana.


Swali nalojiuliza ni "nini jamii yangu inajivunia kuhusu uwepo wangu?."

Brother Mshana Jr Mungu akupe maisha marefu, nina deni kubwa sana kwa jamii kupitia niliyojifunza kwako. Ipo siku wema wako kwa wengine utarudi tena kwako.
 
Kila la heri kwake, apone na arudi katika hali yake ya kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…