Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
- Thread starter
- #21
Wameungaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tajiri Leejay49 mungu atamsaidia na atapona inshallahGood morning wakuu.
Natumaini tumeamka salama. Naomba kwa kila mmoja vile anavyoweza kumuombea, dada etu Leejay49 leo anaingia chumba cha upasuaji, kwaajili ya jicho na sikio.
Usiku nimemtafakari sana huyu binti, ana roho ya kipekee sana. Akiwa anapitia changamoto za kiafya, ila akaanzisha hili la vocha na kufurahi na wengine. Hii ni zaidi ya moyo wa kawaida tulionao sisi.
Ana moyo mzuri na najua Mwenyezi Mungu, ataangalia mengi mazuri kwake, na hili litapita. Tumuombee atoke uoga, awe na imani kubwa na ujasiri. Mwenyezi Mungu akamfanyie wepesi, arudi tena hapa, tufurahi naye. Tunakupenda sana. Leejay49 ❤️.
Mbaga Jr
Vincenzo Jr
Bantu Lady
Leejay49
Etugrul Bey
Huna baya tajiri
Mwachiluwi
Foffana
Madame B
King Rabbit
Sisyphus
Kapeace
Mshana Jr
MKUU toa na location, hata hospital tunaweza kufika. Hujui tu humu kuna watu wa aina ganiGood morning wakuu.
Natumaini tumeamka salama. Naomba kwa kila mmoja vile anavyoweza kumuombea, dada etu Leejay49 leo anaingia chumba cha upasuaji, kwaajili ya jicho na sikio.
Usiku nimemtafakari sana huyu binti, ana roho ya kipekee sana. Akiwa anapitia changamoto za kiafya, ila akaanzisha hili la vocha na kufurahi na wengine. Hii ni zaidi ya moyo wa kawaida tulionao sisi.
Ana moyo mzuri na najua Mwenyezi Mungu, ataangalia mengi mazuri kwake, na hili litapita. Tumuombee atoke uoga, awe na imani kubwa na ujasiri. Mwenyezi Mungu akamfanyie wepesi, arudi tena hapa, tufurahi naye. Tunakupenda sana. Leejay49 ❤️.
Mbaga Jr
Vincenzo Jr
Bantu Lady
Leejay49
Etugrul Bey
Huna baya tajiri
Mwachiluwi
Foffana
Madame B
King Rabbit
Sisyphus
Kapeace
Mshana Jr
Talifatilia hilo mkuu ondoa shaka kabisaMKUU toa na location, hata hospital tunaweza kufika. Hujui tu humu kuna watu wa aina gani
Unataka kunijua na avatar yangu kisha uniteke, utasubiri sana.Badilisha hiyo Tecno Masai Kwa Afya ya picha zako
Ka mwinya ombea tajiri etu Acha hizo😁😁U
Uzi wako ule...wameruka nao😂😂
😀😀😀😀Hautekwi Bali unapelekwa Kwa Gharama ya serikali na msururu wa gari kadhaa,,Ili ukamilikishwe kipande cha ardhi cha pori HifadhiUnataka kunijua na avatar yangu kisha uniteke, utasubiri sana.
Kwenye maombi hao watakua mstari wa mbele na ndio praise teamUnaomba kila mmoja amuombee ila kuna member umewatag majina yao!
Hapo sijakuelewa,hao uliowatag ina maanisha nini mkuu?
Hii jF ishakuwa kijiwe cha umbeya.Unaomba kila mmoja amuombee ila kuna member umewatag majina yao!
Hapo sijakuelewa,hao uliowatag ina maanisha nini mkuu?
Sio kwa ubaya. Ila napoona mtu anakuwa tagged kwenye issue kama hizi (charity) halafu jina langu lisiwepo najisikia vibaya sana.Good morning wakuu.