Tumuombee Mbwana Samata na Aston Villa yake Jumapili, 26/7/2020

Tumuombee Mbwana Samata na Aston Villa yake Jumapili, 26/7/2020

Hatimae Samatta abaki Ligi kuu...sasa ana kazi ya kuonesha ubora msimu ujao.
 
Tumeuna, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali, ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako
Tumeuna, mkono wako Bwana
Matendo yako Bwana ni makuu mno
Umetutoa mbali, ukatushika mkono
Mahali uliona pekee hatuwezi
Chini hata juu, watu unawainua
Sifa na utukufu ni zako milele
Twasifu jina lako, milele tutakusifu
Daima we umwema tutaishi kwako
 
Hatimae Samatta abaki Ligi kuu...sasa ana kazi ya kuonesha ubora msimu ujao.

Furaha ilioje kwa Samatta kunusurika toka katika tundu la sindano. Kabaki Ligi kuu Uingereza. Tunafursa ya kumuona katika Luninge DSTV tena kwa kipindi cha mwaka mzimaaaaaaaa. Oyeeeeeeeeee.

Hongera za dhati kabisa zimuendee Mbwana Samatta aliyecheza takriban dakika 70. Ni ushindi kwa Tanzania nzima.
 
Back
Top Bottom