Arsenal ameibeba sana hii timu ya samata mpaka sasa hivi amesha muhakikishia samata kubaki ligi kuu.
Hatimae Samatta abaki Ligi kuu...sasa ana kazi ya kuonesha ubora msimu ujao.
Ushahid??comment yangu inatosha samatta anacheza kizamani striker wa siku hizi hawapo kama alivyo yeyeUshahidi uko wapi ?