Tumuombee Mdude Nyagali, hukumu yake ni tarehe 28/6/2021

Tumuombee Mdude Nyagali, hukumu yake ni tarehe 28/6/2021

Huyu dogo aliponzwa na mdomo wake,ukizingatia zama zile za show show..,bendera chuma,mlingoti chuma..!
 
Mdude Nyagali ambaye ni Mkulima duni wa Jembe la Mkono kutoka Mlowo Mbozi , ameingia kwenye vitabu vya maajabu ya dunia kwa kushitakiwa kwa makosa mazito ya kusafirisha madawa ya Kulevya kutokea Pakistan kuja Tanzania na kuyasambaza bila kuwa na hati ya kusafiria (PASSPORT).

Bado tunaendelea kuchunguza namna binadamu asiye na mabawa na ambaye hakuwahi hata kupanda ndege alivyoweza kufika Pakistan na kubeba Madawa ya kulevya kisha kuyaleta shamba Mlowo ili kuyasambaza. Tunaamini Mahakama italeta ufafanuzi kwenye hilo.

Bali sisi tunaomfahamu Mdude kama mkosoaji mkubwa wa Serikali ya awamu ya 5 tunajua Mdude alitengenezewa kesi hiyo ya uongo ili kumkomesha kutokana na kuikosoa serikali , Ila tunaendelea kumuombea kwa Mungu ambaye ndio Mamlaka Kuu amsaidie na kumuachanisha na kuta za Magereza. Amina.

View attachment 1832543

UPDATES :
=========

View attachment 1833258View attachment 1833198
View attachment 1833259


UPDATES 2 :
==========

MDUDE NYAGALI AACHIWA HURU
Mbona unanistua Roho,lete habari kamili tuserebuke
 
IMG_20210628_123447.jpg

Huku CCM wanaulizia ni kweli katoka???
 
Back
Top Bottom