Tumuombee Msamaha Godzilla

Umecheki youtube au kwenye TV?
 
Huyu mwaka huu hauishi bila kuona picha zake akiwa kachakaa kwa Unga kama Chid Beenz wa Ilala
 
Bill Naz anaendesha Toyota Potre kama ndo ametusua hivyo basi G'zilla kazi anayo
 
Aache viroba na ganja kwanza ndo tumuombee...yule DeeAndy ni mzuri najua replacement ishafanyika tayari
 
Aache viroba na ganja kwanza ndo tumuombee...yule DeeAndy ni mzuri najua replacement ishafanyika tayari
replacement hilo halipingiki sema dizaini Deeandy alikuwa anamzimia jamaa, ila kuna sehemu tu atakuwa alikoroga
 
sasa kama Bill Nas ame mcopy yeye mbona yeye amemcopy 50 cent na 50 hajawa stressed, anajichanganya mwenyewe,
 
ze ndi ndi ndi..akaombe ushauri kwa komandoo Jide., mwenzake alivuka haya.
 
Aliemtambulisha na kumfanya asomeke kwenye ramani ni dj fetty na tangu fetty kaacha clouds naona na nyota yake inazima sasa kama itakua na mapenz ndani duh keshapotea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…