Tumuombee Msamaha Godzilla

Tumuombee Msamaha Godzilla

Yooh nigger u just sound truely nimetoka kumcheki mchizi Enews ya EATV dakika 2 zilizopita,the guy ni kweli hayuko normal aseee haeleweki anachoongea anajaribu kubuy furaha but usoni unaona kabisa he z just missing something/somebody.God help my ninja from salasala!
Umecheki youtube au kwenye TV?
 
Huyu mwaka huu hauishi bila kuona picha zake akiwa kachakaa kwa Unga kama Chid Beenz wa Ilala
 
Kitu kikubwa kinachomtesa Godzilla ni Bill Naz.

Godzilla alimlalamikia sana Bill Naz anakopi style yake ya uimbaji.
Anaumia kuona Mtu anaemkopi ametusua maisha kuliko yeye alianza Game kitambo.

Hii imempa stress sana mpaka anatumia vitu vya kumchanganya akili.

Godzilla kawa sio yule wa zamani. Smart na akitoa ngoma lazima ikamate.

Interview ya Xxl- Cloudsfm alibolonga sana.
Bill Naz anaendesha Toyota Potre kama ndo ametusua hivyo basi G'zilla kazi anayo
 
Aache viroba na ganja kwanza ndo tumuombee...yule DeeAndy ni mzuri najua replacement ishafanyika tayari
 
Aache viroba na ganja kwanza ndo tumuombee...yule DeeAndy ni mzuri najua replacement ishafanyika tayari
replacement hilo halipingiki sema dizaini Deeandy alikuwa anamzimia jamaa, ila kuna sehemu tu atakuwa alikoroga
 
Kitu kikubwa kinachomtesa Godzilla ni Bill Naz.

Godzilla alimlalamikia sana Bill Naz anakopi style yake ya uimbaji.
Anaumia kuona Mtu anaemkopi ametusua maisha kuliko yeye alianza Game kitambo.

Hii imempa stress sana mpaka anatumia vitu vya kumchanganya akili.

Godzilla kawa sio yule wa zamani. Smart na akitoa ngoma lazima ikamate.

Interview ya Xxl- Cloudsfm alibolonga sana.
sasa kama Bill Nas ame mcopy yeye mbona yeye amemcopy 50 cent na 50 hajawa stressed, anajichanganya mwenyewe,
 
Godzilla & Dee Endy

Screen Shot 2017-06-15 at 8.38.10 AM.png
Screen Shot 2017-06-15 at 8.38.20 AM.png

cc: mahondaw
 
ze ndi ndi ndi..akaombe ushauri kwa komandoo Jide., mwenzake alivuka haya.
 
Aliemtambulisha na kumfanya asomeke kwenye ramani ni dj fetty na tangu fetty kaacha clouds naona na nyota yake inazima sasa kama itakua na mapenz ndani duh keshapotea
 
Back
Top Bottom