Tumuombee Msamaha Godzilla

Pamoja na kuwa verified huko twitter lakin bado anakosa furaha?
HAHAHAHA Verification hata ww ukiamua unaipata.. tenga muda jaza form yao ya maombi wataipitia then ukifanikiwa unakuwa verified
Twitter anagombana na Wakazi mara Mwana Fa, Dada mkubwa wa Nyoma Choma nadhani atamfanyia counselling
 
Sasa kama wewe mshenga umekwama sisi tutaanzia wapi?
 
Kwel mapenz noma hata yule anaejiita simba juzi alipuyanga kisa love
 
Kwel mapenz noma hata yule anaejiita simba juzi alipuyanga kisa love
 
...juzi kati nliskiza interview yao Times Fm yeye na Wakazi
..dah,dogo hasomeki kabisa na,
.anachekacheka tu ka choko!
 
hahahahaha nyie pipo mnajua kumchokoza godzilla. yani posts za humu zinakera sana
 
Daaahhh Imebaki story, sema Deeandy alikuwa anamuelewa sana mnyamwezi three years of relationship Dada wa watu alikuwa anasimulia, alikuja ku expose mwaka wa pili kwao kuwa yuko kwenye mahusiano na jamaa
"Nigga don't be Mad Man" hahahahhh
ana taaluma gani hapa mjini huyo binti
 
Zilla amedata sana huyo jamaa .Kwenye interview Times FM alikuwa amelewa kabisa. Halafu ana ubwege wa kung'ang'ania lugha za watu. Anaongea kiingereza wakati Wakazi aliyekaa US miaka 10 anaongea kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…