Tumuombee msanii maarufu kwa jina la Jini-Kabula

Huyu dada ni member ndani ya kikundi cha waimbaiji wanaitwa scorpion girls. Ina maana meneja wao au members wenzake wameshindwa kumsitiri? Hao wa akina isabela na baby madaha si ndio rafiki zake wakuu, duh ubinadamu kazi.
 
Ilikuwaje akaitwa jini kabula?
 

Al maarufu huwa hawana rafiki wa ukweli. Ukiwa na shida ndipo utashangaa wale wote waliokuwa wanakushobokea wako wapi... Hutoamini macho yako kujiona umebaki alone.
Huyu jamaa nae mbona anaiga sauti ya Mohamed Ally wa Jicho pevu....ubunifu ziro.

Kwenye mada: kweri dada jura hayuko sawa apelekwe hospitali na maombi tumuombee,

Joke: Wampeleke kwao marekani tu hakuna namna......
 
Majini hayajaribiwi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana na wewe unafanya tu mambo yawe magumu.... kwanza hilo jina limetokea tu by chance na jamii wakakubaliana kwamba litawakilisha kiumbe fulani chenye nguvu ya ajabu ajabu lakini kimsingi hilo ni jina tu kama ilivyo kiti, sufuria, mbuzi au pilau...... swali, hivi leo mtu akijiita chanuo na yeye ataanza kubehave kama chanuo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa huyu Dada hayo mambo eti alipima ugonjwa Fulani ndo akachanganyikiwa sio kweli

Walipoanza kuiigiza jumba la dhahabu alishauriwa sana nafasi anayocheza sio nzuri hivyo itamhitaji awwe karibu sana na Mungu na awe mtu wa ibada sana ili hayo maroho mabaya yasije yakampata.

Halafu pia ashawah kushauriwa kuwa asikubali hilo jina la jini kabula. Lakin kwa sabb alishawazoeza mashabiki alishindwa kulikataa.

Huwez kuiigiza muvi nafasi ya kishetan kama vile ukawa salama. Masanja mkandamizaji mwenyewe aliliona hilo akaamua kumrudia Mungu .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ni chizi apelekwe Mirembe ukweli ndio huo hii ya Kuombewa na tiba zingine m badala zianze baada ya kutoka Mirembe, anavyocheleweshwa kwenda Mirembe ndio matibabu yatakavyokuwa magumu kwake yaani atachelewa kuruhusiwa, ushauri wangu huo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo AKA yake nayo Tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wachache sana watakao kuelewa. Huyu tayari ni binadamu anayeishi na nafsi ya jini.

Hapa tunamuona ni Miriam lkn kumbe ni jini tena zenye uharibifu mkubwa ndani yake.

Anapaswa baridi kwenye maombi tena ya kufunga Adi aweze kujinasua toka kwenye nafsi ya jini
Pole zake. Kwa vile ni al-maarufu wapo wataalamu watajitokeza kumpatia tiba muafaka


Sent using Jamii Forums mobile app
 
MWISHO WA SIKU WOTE TUNAZINGUA;"SIN IS SIN",HAKUNA JINSI TUMUOMBEE KAMA KWELI HII ISHU
(INGAWA MM MWENYEWE MADEMU WA BONGO MUVI WANANIKELA TABIA ZINANIKELA)
 
Watu wana moyo kwa hiyo afya ya mr. Nice hapo bado mtu anajipeleka tu duuh

Sent using Jamii Forums mobile app
Ongopa sana kwenda club na makundi ya watu wasiojielewa... Unapigishwa pombe iliyo mix'wa na unga ufahamu unakutoka... Unajikuta unafanya maamuzi yaliyo nje ya uwezo wako.... Hawa bongomovie wanafanya starehe nyingi sana sisizo na maana, wanaishia kuumia
 
Hata mirembe hawana Tiba yake, huyu ni wa kwenye maombi ya nguvu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa vijana wa bongo movie/flava wanachezea sana ujana wao, dharau nyingi, umalaya mwingi n.k wakishapata matatizo ndo wanaanza kuaibika na kuomba misaada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…