Tumuombee msanii maarufu kwa jina la Jini-Kabula

Ndio maisha,he failed to maintain his status.
Wale watu wa JUMBA LA DHAHABU walipaswa kuwa waigizaji xpensive sana kwa sasa

May Allah bless Me and You
kweli mkuu yaani wale walitusua kwa pamoja
 
Reactions: SDG
Basi Hollywood imejaa walokole maana wanaigiza na hawawi machiz
 
huyu mwanamke kama nakumbuka vizuri miaka kibao ya nyuma alishinda taji la urembo kama aliloshinda odemba(something like MNET face of Africa kwa hapa bongo) na alikuwa mweusi kama mkaa,ghafla kanywa mimaji kawa mweupe,the rest is history,..mara bongo muvi mara nini sijui!
ila kwa hiyo clip kama sio kutafuta kiki basi ni complete insane.
 
Maskini,Mungu amrudi na kumponya naamini akili ikirudi sawa ataokoka
Kwa nini amkumbuke Mungu akiwa ameshaharibu? Ina Maana Mungu ni wakuja kutibu yaliyokuja kuharibika? Aisee na Mungu asimuonee huruma na Liwe Fundisho.

Hawa watoto wakishasifiwa huwa wanaviburi na kujifanya hawaamini kama Mungu yupo na anatenda Maajabu. Na Siku zote tumekuwa tukikumbushwa kuwa Mkumbuke Muumba wako siku za Ujana wako Maana zaaja siku za Kulia na Kusaaga Meno.

Kipindi cha Ujana wengi wanautumia kwa kufanya yale yampendezayo Shetani, tena kwa Wadad ndiyo unakuta wapo Busy kuharibu Ndoa za Watu kwa kutembea na Waume wa Wanawake wenzao.

Kipindi hicho kuna Wanawake walio Uchungu kwa yanayofanyika kwenye Ndoa Zao, Machozi yale yakijakukulipa unaanza kumkimbilia na kuhitaji Msaada wa Maombi kutoka kwa Uliokuwa unawadharau.

Mungu hadhihakiwi wala Hachekewi. Hili Liwe Fundisho kwa Wale wote wanao Amini kuwa Mungu hayupo Duniani...au Hawaoni Matendo yao.
Huyo Jini Siyo wa Kumuonea wala Kumuombea Bali anapashwa ajiombee na atubu kwa kutumia kinywa chake. Kwa Kipindi cha Ujana wake ni Mara Ngapi amehudhurua kwenye Nyumba za Ibada? Zaidi ya Kwenda Misibani huku wakiwa wamevaa Miwani Mikubwa na Madila Makubwa?

Shame to them all cerebrities na wote wafafanano na hao wanaodhani wao ni Bora kuliko Muumba wao.
na Siku zote Tunasema Mshahra wa Dhambi ni Mauti...Hiki nikipindi Chake cha kuvuna alichopanda.
 
rudi mkuu,,hata kama kuna tofauti za itikadi usizijali..binadamu hatuwezi kuwa sawa

Poa poa nitakuja kuwasalimu.. mimi sikujibu kitu ila zilikuwa zinaboa ndani ya jukwaaa na uzi wa kuburudika nje ya majukwaa mengine... so nikachukua kama njia ya kunisukuma nifanikishe kufikia mapunziko humu jukwaani.
 
Poa poa nitakuja kuwasalimu.. mimi sikujibu kitu ila zilikuwa zinaboa ndani ya jukwaaa na uzi wa kuburudika nje ya majukwaa mengine... so nikachukua kama njia ya kunisukuma nifanikishe kufikia mapunziko humu jukwaani.
sawa, uje tuliendeleze..sisi tunataka furaha
 
Kama ata itaji msada nicheki inbox

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usihukumu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa bongomover wanajisifiaga sana kua wanabadilisha mabwana kuna mmoja nimemsikia leo eti atabadilisha sana mabwana mpaka ampate atakayefit sasa wakija kuikanyaga wasije humu kulialia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…