Simba Asiyefugika
JF-Expert Member
- Apr 20, 2017
- 600
- 239
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kweli mkuu yaani wale walitusua kwa pamojaNdio maisha,he failed to maintain his status.
Wale watu wa JUMBA LA DHAHABU walipaswa kuwa waigizaji xpensive sana kwa sasa
May Allah bless Me and You
Mtu alosimama ni MZEE CHILO TU ambapo wote walipaswa kuwa like HIMkweli mkuu yaani wale walitusua kwa pamoja
Basi Hollywood imejaa walokole maana wanaigiza na hawawi machizKwa huyu Dada hayo mambo eti alipima ugonjwa Fulani ndo akachanganyikiwa sio kweli
Walipoanza kuiigiza jumba la dhahabu alishauriwa sana nafasi anayocheza sio nzuri hivyo itamhitaji awwe karibu sana na Mungu na awe mtu wa ibada sana ili hayo maroho mabaya yasije yakampata.
Halafu pia ashawah kushauriwa kuwa asikubali hilo jina la jini kabula. Lakin kwa sabb alishawazoeza mashabiki alishindwa kulikataa.
Huwez kuiigiza muvi nafasi ya kishetan kama vile ukawa salama. Masanja mkandamizaji mwenyewe aliliona hilo akaamua kumrudia Mungu .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini amkumbuke Mungu akiwa ameshaharibu? Ina Maana Mungu ni wakuja kutibu yaliyokuja kuharibika? Aisee na Mungu asimuonee huruma na Liwe Fundisho.Maskini,Mungu amrudi na kumponya naamini akili ikirudi sawa ataokoka
Ajiite Jini halafu awe mwanachama wa Ccm mirembe lzm imuhusu huwezi kuwa chama cha vichaa
rudi mkuu,,hata kama kuna tofauti za itikadi usizijali..binadamu hatuwezi kuwa sawa
sawa, uje tuliendeleze..sisi tunataka furahaPoa poa nitakuja kuwasalimu.. mimi sikujibu kitu ila zilikuwa zinaboa ndani ya jukwaaa na uzi wa kuburudika nje ya majukwaa mengine... so nikachukua kama njia ya kunisukuma nifanikishe kufikia mapunziko humu jukwaani.
Kama ata itaji msada nicheki inboxHabarini....Msanii maarufu wa Filamu nchini Maarufu kama JINI-KABULA anaumwa na yupo kwenye matatizo makubwaa lakini ki afya yanaweza kutibika
Mimi nimebahatika kumuona ni psychatric patient yaani ameshakuwa mgonjwa wa akili....hili tatizo kama likimzidia tusishangae akapewa Reffaral kwenda Mirembe Dodoma! Ili asifike hukoo anahitaji msaada wetu na maombi yetu
Unaambiwa kwa stori za kunyapia nyapia..Jini kabula alipima Ugonjwa Fulani Miezi 3 iliyo pita baada ya kubainika kuwa ni Muathirika ndipo alipo pata msongo wa mawazo na kupelekea kulazwa kwenye wodi la vichaa kutokana na hali yake....sasa Jini Kabula anahitaji maombi yetu na msaada wetu katika halii aliopo sasa
Ulikuwa umkimuuliza anaongea vitu visivyo eleweka mara yeye ni wa musoma mara marekani mara pacha wake Rihanna yaani kwa wanao mfahamu mgonjwa wa Akili watakuwa wanaelewa sasa ili dada etu asifike huko Mirembe anahitaji faraja yetu na msaada wetu....tusipoteze kipaji hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
Usihukumu mkuuKwa nini amkumbuke Mungu akiwa ameshaharibu? Ina Maana Mungu ni wakuja kutibu yaliyokuja kuharibika? Aisee na Mungu asimuonee huruma na Liwe Fundisho.
Hawa watoto wakishasifiwa huwa wanaviburi na kujifanya hawaamini kama Mungu yupo na anatenda Maajabu. Na Siku zote tumekuwa tukikumbushwa kuwa Mkumbuke Muumba wako siku za Ujana wako Maana zaaja siku za Kulia na Kusaaga Meno.
Kipindi cha Ujana wengi wanautumia kwa kufanya yale yampendezayo Shetani, tena kwa Wadad ndiyo unakuta wapo Busy kuharibu Ndoa za Watu kwa kutembea na Waume wa Wanawake wenzao.
Kipindi hicho kuna Wanawake walio Uchungu kwa yanayofanyika kwenye Ndoa Zao, Machozi yale yakijakukulipa unaanza kumkimbilia na kuhitaji Msaada wa Maombi kutoka kwa Uliokuwa unawadharau.
Mungu hadhihakiwi wala Hachekewi. Hili Liwe Fundisho kwa Wale wote wanao Amini kuwa Mungu hayupo Duniani...au Hawaoni Matendo yao.
Huyo Jini Siyo wa Kumuonea wala Kumuombea Bali anapashwa ajiombee na atubu kwa kutumia kinywa chake. Kwa Kipindi cha Ujana wake ni Mara Ngapi amehudhurua kwenye Nyumba za Ibada? Zaidi ya Kwenda Misibani huku wakiwa wamevaa Miwani Mikubwa na Madila Makubwa?
Shame to them all cerebrities na wote wafafanano na hao wanaodhani wao ni Bora kuliko Muumba wao.
na Siku zote Tunasema Mshahra wa Dhambi ni Mauti...Hiki nikipindi Chake cha kuvuna alichopanda.
NIMECHEKA ETI "JINI POLE"jini pole