TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,584
to me sijaona vibe la chadema. maana wao toka mwanzoni walijua hawana power ya ushawish wa kupata VP.Vibe la wafuasi wa Chadema kwa mama limekata ghafla.
Uzi kama huu zile siku za mwanzo mama anaapishwa wangeshavamia hapa kukimbiza uzi na comment zao za kinafki ushauri kwa Rais wetu kipenzi.
Duh!to me sijaona vibe la chadema. maana wao toka mwanzoni walijua hawana power ya ushawish wa kupata VP.
so walikaa kimya.
waliokuwa wanahangaika ni makundi ndani ya ccm wenyewe .. na makundi haya ndio yalikuwa yakinyemelea hizi nafasi waweke watu hao.
kundi liloanza 2015, na before 2015.
na mama kajua kuwapiga chenga kabambe. na nimefurahi hafanyi kazi kwa kushinikizwa.
Mtaani ni zaidi ya jera kwa graduates ,nafuu hata ya jeraAjaribu kupunguza miradi ambayo haina tija japo atuajiri! Mtaani kugumu jamani Lol!