Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lkn akumbuke hakuna marefu yasiyo na ncha!!Kwa jinsi Melo alivyoelezea, huyu mtu anatumwa, analindwa, hagusiki kirahisi.
Ha ha haaa,mecheka kwa sauti.daa[emoji15][emoji15][emoji15][emoji102][emoji848][emoji144][emoji216]
Kila la heri Musiba, umefichua mengi, na nchi inasonga mbele. Yapo mengi ila Wengi wanahofia maisha kwa kusema ukweli. Yangesemwa tangu mwalimu aachie ngazi tungekuwa juu sana kiuchumi. Tz yetu sio tena shamba la bibi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Umama huuKila la heri Musiba, umefichua mengi, na nchi inasonga mbele. Yapo mengi ila Wengi wanahofia maisha kwa kusema ukweli. Yangesemwa tangu mwalimu aachie ngazi tungekuwa juu sana kiuchumi. Tz yetu sio tena shamba la bibi.
Sent using Jamii Forums mobile app