The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Kadinali kapigwa 6 yrs na kavuliwa ukadinaliHivi umefuatilia tangu laptop yake iliposhikwa na picha za watoto wadogo tena wengine mpaka miaka 2?
Haya ni maradhi na wengi wanayo sana
Kama atapatikana na aliyoyafanya apate adhabu yake tu kwani haina cha black or white
Huyu cardinal nae kesho anahukumiwa kwa kuwalawiti Watoto wawili na anaweza kwenda jela miaka 50
View attachment 1032863
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Halafu wanamtetea RK kwa kuwa ni black
Hamna cha black wala " nini ...!? Ma -star wengi huwa wana fanya mambo mengi sana yaliyo jaa uovu na ushetaniHalafu wanamtetea RK kwa kuwa ni black
Huyu cardinal kaambiwa na hakimu kuwa atafia jela kwa umri wake huo
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Tatizo la blacks nao hawatupendi sisi waafrika[emoji57][emoji57]...kujiita black Americans while are real Africans mfyuuuWana-target black personalities, mbaya sana, warudi Afrika tupambane na hali zetu tu
Best usinambie[emoji134][emoji134]...watoto 2 aged??Hivi umefuatilia tangu laptop yake iliposhikwa na picha za watoto wadogo tena wengine mpaka miaka 2?
Haya ni maradhi na wengi wanayo sana
Kama atapatikana na aliyoyafanya apate adhabu yake tu kwani haina cha black or white
Huyu cardinal nae kesho anahukumiwa kwa kuwalawiti Watoto wawili na anaweza kwenda jela miaka 50
View attachment 1032863
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kweli kabisa mkuuHamna cha black wala " nini ...!? Ma -star wengi huwa wana fanya mambo mengi sana yaliyo jaa uovu na ushetani
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa ni cardinal wa roman Catholic church huko AustraliaBest usinambie[emoji134][emoji134]...watoto 2 aged??
Like seriously??
Ni masharti ya demons au ni mambo ya psychopathic personality?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani we acha tuJamaa namkubali kinomazz...toka liskendo lake liibuke nalia tu[emoji24][emoji24]
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee...oooh kumbe huyo mbabu[emoji849]...nilidhani unamzungumzia r.kellyAlikuwa ni cardinal wa roman Catholic church huko Australia
Aliwalawiti wavulana 2 wana kwaya age 13
Alihukumiwa miaka 6 tayari
Ana miaka 77 na hakimu kwa hasira kamwambia utafia jela
Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ila wazazi nao waache kupenda kitonga[emoji848]...we mtoto umri wa kuwa shule, unampelekea R. Kelly eti sijui ni talent na matakataka kama hayo.....mwanaume ni wa kumuachia mtoto wa kike kweli, by nature ni viumbe vyenye exceptional feeling!...lazima mambo ya ngono yatawale!Yaani we acha tu
Tatizo wakiwa karibu tu na watoto ndio wanajisahau na kuona wanaweza kuwafanya kila kitu
Inaumiza sana wanapoaminiwa na kuwa karibu na innocent kids nao kuanza kuwaharibu
Sent from my SM-G570F using Tapatalk