Tumuombeeni R Kelly asifungwe

Tumuombeeni R Kelly asifungwe

The Mongolian Savage

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2018
Posts
8,082
Reaction score
17,838
Mzuqa!

Kila nikisikiza kibao chake if I could turn the hand of time yani I become very emotional. Tumuombeeni Robert asifungwe. Akipatwa na hatia atafungwa miaka 70.

Huu uonevu wa blacks ni too much. Bill Cosby washamsweka sasa wanataka wamuinginze Robert no way Lord ingilia kati.

Alipaswa kufungwa akiwa bado maarufu kabla hajaharibu maisha ya binadamu wengine. Umaarufu na pesa siyo kibali cha kuvuruga maisha na ndoto za viumbe wengine wasiokuwa na hatia. Akifungwa labda atapata utulivu wa akili na kufanya toba.
 
Hivi umefuatilia tangu laptop yake iliposhikwa na picha za watoto wadogo tena wengine mpaka miaka 2?
Haya ni maradhi na wengi wanayo sana
Kama atapatikana na aliyoyafanya apate adhabu yake tu kwani haina cha black or white
Huyu cardinal nae kesho anahukumiwa kwa kuwalawiti Watoto wawili na anaweza kwenda jela miaka 50

20190226_074544.jpeg

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
View attachment 1032863

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Kadinali kapigwa 6 yrs na kavuliwa ukadinali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi umefuatilia tangu laptop yake iliposhikwa na picha za watoto wadogo tena wengine mpaka miaka 2?
Haya ni maradhi na wengi wanayo sana
Kama atapatikana na aliyoyafanya apate adhabu yake tu kwani haina cha black or white
Huyu cardinal nae kesho anahukumiwa kwa kuwalawiti Watoto wawili na anaweza kwenda jela miaka 50

View attachment 1032863

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Best usinambie[emoji134][emoji134]...watoto 2 aged??

Like seriously??

Ni masharti ya demons au ni mambo ya psychopathic personality?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna cha black wala " nini ...!? Ma -star wengi huwa wana fanya mambo mengi sana yaliyo jaa uovu na ushetani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu
Wanapokuwa karibu na watoto sana ndio tatizo linapoanza kwa wengi
Halafu wakigundulika na kutajwa ndio wanaanza kulia

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Best usinambie[emoji134][emoji134]...watoto 2 aged??

Like seriously??

Ni masharti ya demons au ni mambo ya psychopathic personality?

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa ni cardinal wa roman Catholic church huko Australia
Aliwalawiti wavulana 2 wana kwaya age 13
Alihukumiwa miaka 6 tayari
Ana miaka 77 na hakimu kwa hasira kamwambia utafia jela

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Jamaa namkubali kinomazz...toka liskendo lake liibuke nalia tu[emoji24][emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani we acha tu
Tatizo wakiwa karibu tu na watoto ndio wanajisahau na kuona wanaweza kuwafanya kila kitu
Inaumiza sana wanapoaminiwa na kuwa karibu na innocent kids nao kuanza kuwaharibu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Alikuwa ni cardinal wa roman Catholic church huko Australia
Aliwalawiti wavulana 2 wana kwaya age 13
Alihukumiwa miaka 6 tayari
Ana miaka 77 na hakimu kwa hasira kamwambia utafia jela

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Asee...oooh kumbe huyo mbabu[emoji849]...nilidhani unamzungumzia r.kelly

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani we acha tu
Tatizo wakiwa karibu tu na watoto ndio wanajisahau na kuona wanaweza kuwafanya kila kitu
Inaumiza sana wanapoaminiwa na kuwa karibu na innocent kids nao kuanza kuwaharibu

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
Ila wazazi nao waache kupenda kitonga[emoji848]...we mtoto umri wa kuwa shule, unampelekea R. Kelly eti sijui ni talent na matakataka kama hayo.....mwanaume ni wa kumuachia mtoto wa kike kweli, by nature ni viumbe vyenye exceptional feeling!...lazima mambo ya ngono yatawale!

Wazazi nao wana makosa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom