- Thread starter
- #101
Mbona kama unatusemea.. Wengi Huku ndani wanapingana na fikra zako sasa kama mtanzania naomba ujisemee mwenyewe Sio watanzania... Hivi Unajua maaana ya ukimbizi?? So sisi tulio nje ya nchi zetu ni wakimbizi???
??? Yaani hoja zako hazina mashiko kabisa... Jibu hoja, hoja ya u-nchi imeanzia wapi???
Hakuna miss Tanzania mwingine zaidi ya Sitti.. Kama humtaki anzisha mashindano yako umchague miss wako uone kama atatambulika