Tumuunge mkono Miss Tanzania atatuwakilisha vyema Miss World


Hakuna miss Tanzania mwingine zaidi ya Sitti.. Kama humtaki anzisha mashindano yako umchague miss wako uone kama atatambulika
 
napata wakati mgumu sasa tumuungeje mkono, tukamsaidie kuweka mabeg kwenye gari kuelekea airport au tukamsaidie kuhongo huko Miss world ili afike 20 bora
 
NImegundua mleta mada alijiung JF karibia na siku ambayo cheti cha sitti kilipatikana, inawezekana walijipanga kuwepo kote, hata huko kwenye vyeti mpo, BUT with this world mmebug meeeeen, mtaaibika na hamtasahau ujnga mliofanya. Mpelekeni kwenye mashindano ya Bibi Bomba tutampigia kura
 

Ndio uwezo wako wa kufikiria umeishia hapa?
 
wewe laki si pesa utakuwa ni msemaji mkuu wa Mtemvu foundation so sishangai jinsi unavyoonekana kutetea upuuzi kama huu. Unafanana saana na Al-Sahaff alikuyekuwa waziri wa habari wa Iraq wakati ule wa vita na marekani. Kazi yake ilikuwa ni kukanusha tu na kupindisha ukweli kwa kila kilichokuwa kinatokea... baada ya iraqi yote kutekwa bado aliendelea kukanusha tu wakati majeshi ya bush yako nyuma mgongoni mwake..Jitahidi najua hii kazi inakuingizia kula hapa mjini lkn mwisho utakimbia kimya kimya
 

Unaweza ukadhibitisha hii kauli yako, Au umeshakunywa viroba
 
Wekeni join date ya mleta mada,inawezekana kajiunga kwa hili la miss anko lunde.
 
Wekeni join date ya mleta mada,inawezekana kajiunga kwa hili la miss anko lunde.

Badala ya kumtetea mwanamke mwenzio ndio unazidi kumkandamiza. dah..kweli nimeamini wanawake hampendani
 
Anayemtetea Miss Bibi Bomba 2014 Sitti Mtemvisa lazima awe mmoja wa wanaonufaika na tabia za forgery. Mmethubutu.... nimejaribu....mmeshindwa
 
aaah asee wewe jamaa laki si pesa... aaah we asee nimekubali ni mbishi balaa wewe ni noma sana yani wewe unatisha.. au ndio umemfundisha sitti kukomaa na uongo hata milima ipasuke..? ila jua kitu kimoja kamfundishe tena maana mwanafunzi wako hajawa compitent kama mwalimu wake.. jamaa big up sana asee una bisha ni sheedah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…