October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
mkuu pole sana, naona harakati za kutafuta maisha zinakufanya uwaze vitu vingi . Nakushaur utulie na idea moja sio mara kufungua restaurant mbagala, mara kuuza mitumba, mara bizaa za juice. Mkuu usipokua na utulivu wa mawazo kila kitu kitakua "HOVESS" !Kama wewe mwandishi nzuri wa vitabu, tumfate Diamond platinum tumweleze tunataka kuandika kitabu kinachohusu wewe then kikikamilika akiuza kwasababu maarufu tunapiga pesa, atahusika yeye kuchapisha.
Atakubali kwasababu sio mchoyo.
Haha usiwaze mkuu zote zinagongwa izo juice iko sokoni na swala lipo kwenye mchakato.mkuu pole sana, naona harakati za kutafuta maisha zinakufanya uwaze vitu vingi . Nakushaur utulie na idea moja sio mara kufungua restaurant mbagala, mara kuuza mitumba, mara bizaa za juice. Mkuu usipokua na utulivu wa mawazo kila kitu kitakua "HOVESS" !
Poa mkuu japo binadamu hakuumbwa kuwa multitasker .Haha usiwaze mkuu zote zinagongwa izo juice iko sokoni na swala lipo kwenye mchakato.
Ndugu yangu usihofie hata kidogo mimi nafanya vitu hata saba kwa mpigo.
Ila nature itakufanya uwe hivyoPoa mkuu japo binadamu hakuumbwa kuwa multitasker .
Nenda wewe mkuu alafu upige pesa.Kama wewe mwandishi nzuri wa vitabu, tumfate Diamond platinum tumweleze tunataka kuandika kitabu kinachohusu wewe then kikikamilika akiuza kwasababu maarufu tunapiga pesa, atahusika yeye kuchapisha.
Atakubali kwasababu sio mchoyo.
NyaubaNenda wewe mkuu alafu upige pesa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nenda wewe mkuu alafu upige pesa.
Mimi no mwandishi mzuri tushee ideaKama wewe mwandishi nzuri wa vitabu, tumfate Diamond platinum tumweleze tunataka kuandika kitabu kinachohusu wewe then kikikamilika akiuza kwasababu maarufu tunapiga pesa, atahusika yeye kuchapisha.
Atakubali kwasababu sio mchoyo.