Tumwandikie kitabu Diamond tupate pesa ndefu

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Kama wewe mwandishi nzuri wa vitabu, tumfate Diamond platinum tumweleze tunataka kuandika kitabu kinachohusu wewe then kikikamilika akiuza kwasababu maarufu tunapiga pesa, atahusika yeye kuchapisha.

Atakubali kwasababu sio mchoyo.
 
mkuu pole sana, naona harakati za kutafuta maisha zinakufanya uwaze vitu vingi . Nakushaur utulie na idea moja sio mara kufungua restaurant mbagala, mara kuuza mitumba, mara bizaa za juice. Mkuu usipokua na utulivu wa mawazo kila kitu kitakua "HOVESS" !
 
Haha usiwaze mkuu zote zinagongwa izo juice iko sokoni na swala lipo kwenye mchakato.

Ndugu yangu usihofie hata kidogo mimi nafanya vitu hata saba kwa mpigo.
 
Poa mkuu japo binadamu hakuumbwa kuwa multitasker .
 
Kama wewe mwandishi nzuri wa vitabu, tumfate Diamond platinum tumweleze tunataka kuandika kitabu kinachohusu wewe then kikikamilika akiuza kwasababu maarufu tunapiga pesa, atahusika yeye kuchapisha.

Atakubali kwasababu sio mchoyo.
Nenda wewe mkuu alafu upige pesa.
 
Kama wewe mwandishi nzuri wa vitabu, tumfate Diamond platinum tumweleze tunataka kuandika kitabu kinachohusu wewe then kikikamilika akiuza kwasababu maarufu tunapiga pesa, atahusika yeye kuchapisha.

Atakubali kwasababu sio mchoyo.
Mimi no mwandishi mzuri tushee idea
 
Ana nini chakuandikiwa kitabu,?labda kitajaa majina ya wanawake
 
Idea nzuri sana Ila watu wengi wanaokomenti siyo waandishi na ndiyo maana watakupinga. Kupitia jina la Mond tu kitabu kitauzika sana
 
Back
Top Bottom